Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

Na hapo hapo mwanzoni katika taarifa yao ya kukataa mechi ya 8 March walitoa azimio lakutokucheza mechi yoyote ya ligi mpaka report cha kilichotokea itolewa na wahusika kuwajibishwa. Hawa hawajielewa wachachanganyikiwa washajua nini kinaenda kuwakuta.
 
5imba wamezoea utapeli kwa kushirikiana na TFF,washajua match hakuna wanataka kuwatapeli mashabiki wao.
 
Sima timu ya kiswazi... wanachoangalia ni maslahi yao tu.. Kolowizadi
 
Utopolo ni Demu anaeingia gheto huku anasema staki staki ukimsukumia tu kitandani anatulia
 
Ripoti ya kilichotokea inatakiwa iwe wazi wa kuwajibishwa awajibishwe na mechi imeshapangiwa tarehe inatakiwa mpira uchezwe. Nje ya hapo ni siasa, soka kutumika kisiasa.
 
Kolo's mlisema hamtacheza mbaka ripoti ya uchunguzi itolewe.. .. mmesikia atuleti timu mnautaka tena

No reform no election
Busara imetumika. Bodi imeonyesha dhamira ya kushughulikia swala hili. So kama wadau wa mpira tunataka kuuokoa mpira wetu.
 
Hili tamko la Simba ni la kujiandalia mazingira ya kupata points za mezani
 
2. Simba kufanya mazoezi uwanja wa Mkapa jioni ya 14/06. Ingawa hawalazimiki kufanya hivyo ila itakuwa ishara tosha kuwa maandalizi ya mechi yamekamilika na uwanja uko tayari kuhost mchezo.

Uwanja wa Mkapa umechaguliwa na Yanga au Simba au TFF au Bodi au Serikali?
 
Ndio maana nakwambia wewe ni majnuni,leo unasema 5imba hawalazimiki kufanya mazoezi kabla ya match na Yanga,hapo hapo mnasema sababu za kukimbia game iliyopita ni kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya match.
 
M
Makolo mnahangaika na nn??nyie nendeni uwanjani mkapate point za bure!mlivyokua wajinga mnazidi kuwatapeli mashabiki yenu mazuzu yanunue ticket wakati mechi hakuna
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
ukisikia mtoto kautaka ndo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…