njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ni ujinga tu halafu wanaoweka mada kwenye vipindi vyao za HIVI AZAM INAFELI WAPI NA UWEKEZAJI WOTE ULE? leo ndiyo wako bize kumtetea AragijaNakubaliana na wewe kabisa .. huku ni pesa tuu , aragija anakula pesa sana hasa uto . Na anafanya kazi haswa [emoji1]
Huyu huyu Arajiga aliyemwacha Bajana bila red card kwa rafu za wazi ndo amehongwa? Wewe kweli una njaa. Nawaambia lawama zangu kwa marefa si kuhongwa isipokuwa hawajui wanachokifanya. Ukiuliza kwa nini Dube kanyimwa penati anasema ilikuwa fair challenge.ni ujinga tu halafu wanaoweka mada kwenye vipindi vyao za HIVI AZAM INAFELI WAPI NA UWEKEZAJI WOTE ULE? leo ndiyo wako bize kumtetea Aragija
pesa zimwage tu hadi kwa makanjanja, ubayaubaya ,machambuzi yapate bashasha pande zote mbili hadi yachanganyikiwe
Naaam una mengine ya kuongezea ndugu mshtakiwa kabla sijasoma hukumu?Huyu huyu Arajiga aliyemwacha Bajana bila red card kwa rafu za wazi ndo amehongwa? Wewe kweli una njaa. Nawaambia lawama zangu kwa marefa si kuhongwa isipokuwa hawajui wanachokifanya. Ukiuliza kwa nini Dube kanyimwa penati anasema ilikuwa fair challenge.
JINO KWA JINO, soka litachezwa CAF huku ni mwendo wa ki aragija gija jiga, hadi wachambuzi wapewe bahasha safari hii dadeekiHuu utumbo ulioandika nasikitika kuusoma
yatadata nakuapia sasa hivi yanapokea upande mmoja ndiyo maana yanatamba kilichobaki ni kuyapandia dau kama wanawake malaya sokonimachambuzi yapate bahasha pande zote mbili hadi yachanganyikiwe.
😂
alaa kwani kuhonga kunahitaji uzuri wa team? BOOSTER LIFUNGULIWE hii hongo iwe hadi kwa ma ball boys na machambuzi ya redio za kata na wilaya woote nchiniApo ilipo Simba wamesha honga sana tatizo timu mbovu.
alaaaaaMsimu uliopita Kibu D alidaka mpira kwenye box ilikua mechi ya Azam na Simba lefa akapeta hii issue ya waamuzi ni ngumu sana
alie toboa kimataifa ni nani? waamuzi wa bongo ni janga ila ushabiki hua unatufanya tunakua vipofu angalia hapa[emoji116]Utopolo ndo maana huwa hawatoboi kimataifa