Ukiachana na Simba, je ni timu gani kwa Africa au ulaya ambayo inajivunia kwa takwimu? Al Ahly ambayo imebeba makombe ya champions league mara kibao, je mashabiki wamepagawa na takwimu kama mlivyopagawa nyie? Hao Royal Antwerp F.C hawahadaiki na hizo takwimu.Na hao wote wameridhika na stastistics na kumpa heshima simba
Cha ajabu club ambayo haipo imekuwa mstari wa mbele kulalamika kua hizo club zimeonewa badala ajipambanie naye angalau mwakani awe hata wa 390
Haya yote yangejibika endapo hii forum ingekuwa na mashabiki wa Al ahlyUkiachana na Simba, je ni timu gani kwa Africa au ulaya ambayo inajivunia kwa takwimu? Al Ahly ambayo imebeba makombe ya champions league mara kibao, je mashabiki wamepagawa na takwimu kama mlivyopagawa nyie? Hao Royal Antwerp F.C hawahadaiki na hizo takwimu.
Jipe kazi nyepesi tu. Mitandao ya kijamii ipo wazi tu kila mmoja kuweza kuingia, embu kaingie pge ambayo inahusisha mashabiki wa Al Ahly halafu uone kama wanaakili ya kujivunia namba (nafasi) badala ya makombe.Haya yote yangejibika endapo hii forum ingekuwa na mashabiki wa Al ahly
Humu kuna mamluki ambao hamueleweki, kama saizi mko kwa berkane lakini baada ya mechi mtamsusa
Hahahaaaaa!Nime scroll mpaka club ya mwisho ya jiti tatu na tisini lakini sijaona neno young au yanga
Tufahamishane kama kuna jina lingine altenative ambalo ndugu zetu wanalitumia kisirisiri
Vituko haviishi duniani yaani Simba ni bora kuliko Raja Casablanca, ES Tunis, TP Mazembe kwa lipi hasa?The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)
1. [emoji1093] Al Ahly - (20)
2. [emoji1093] Pyramids - (55)
3. [emoji1173] Wydad - (78)
4. [emoji1221] Sundowns - (92)
5. [emoji1241] Simba - (98)
6. [emoji1026] CR Belouizdad - (104)
7. [emoji1026] JS Kabylie - (113)
8. [emoji1029] Petro Luanda - (133)
9. [emoji1249] CS Sfaxien - (136)
10. [emoji1249] ES Tunis - (141)
Swala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.Jipe kazi nyepesi tu. Mitandao ya kijamii ipo wazi tu kila mmoja kuweza kuingia, embu kaingie pge ambayo inahusisha mashabiki wa Al Ahly halafu uone kama wanaakili ya kujivunia namba (nafasi) badala ya makombe.
.
Kuhusu Berkane mimi sijazungumzis hilo japo inafahamika uwezekano w simba kushinda ni asilimia 89 huku sare ikiwa ni asilimia 10 kufungwa ni asilimia 1
Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons
Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana
Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?
Jiulize hivi: mbona al ahly ya misri ni miongoni kwa timu tatu duniani zenye mafaniko makubwa kiwanjani ilhali kiutajiri hàiifikii hata robo ya Norwich city?
Tutofautishe mafanikio ya klabu kiwanjani dhidi ya mafaniko ya klabu kimapato
[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nawish timu yangu kuwepo, kama kuna tuzo za rank au kombe la rank. Zaidi ya hapo hakuna maanaSwala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.
Hili unaliongelea wewe kwasababu timu yako haipo kwenye hizo rank na una wish ungekuwepo
Simba ipo juu ya Zamaleki? [emoji3064][emoji3064]Swala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.
Hili unaliongelea wewe kwasababu timu yako haipo kwenye hizo rank na una wish ungekuwepo
Hayo ni maneno ya mkosajiSawa mkuu nawish timu yangu kuwepo, kama kuna tuzo za rank au kombe la rank. Zaidi ya hapo hakuna maana
Kati ya walio chini ya simba umemuona zamaleki kua ndio mkubwa sana kuliko wengine?Simba ipo juu ya Zamaleki? [emoji3064][emoji3064]
Sawa mkuu sisi tumekosa tuzo za rankHayo ni maneno ya mkosaji
Nmekuuliza Simba inaizidi nini Zamaleki nijibu hilo swali acha porojoKati ya walio chini ya simba umemuona zamaleki kua ndio mkubwa sana kuliko wengine?
Inaizidi nini kwenye nini?Nmekuuliza Simba inaizidi nini Zamaleki nijibu hilo swali acha porojo
Hii tafiti kiboko, yaani Barcelona ni ya 83????