Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara,
ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons
Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana
Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?
Jiulize hivi: mbona al ahly ya misri ni miongoni kwa timu tatu duniani zenye mafaniko makubwa kiwanjani ilhali kiutajiri hàiifikii hata robo ya Norwich city?
Tutofautishe mafanikio ya klabu kiwanjani dhidi ya mafaniko ya klabu kimapato
[emoji120][emoji120]
Sent using
Jamii Forums mobile app