Simba ya 98 kwa ubora duniani

Simba ya 98 kwa ubora duniani

Na hao wote wameridhika na stastistics na kumpa heshima simba

Cha ajabu club ambayo haipo imekuwa mstari wa mbele kulalamika kua hizo club zimeonewa badala ajipambanie naye angalau mwakani awe hata wa 390
Ukiachana na Simba, je ni timu gani kwa Africa au ulaya ambayo inajivunia kwa takwimu? Al Ahly ambayo imebeba makombe ya champions league mara kibao, je mashabiki wamepagawa na takwimu kama mlivyopagawa nyie? Hao Royal Antwerp F.C hawahadaiki na hizo takwimu.
 
Norwich City Fc imewahi kushiriki mashindano yapi ya kimataifa na ikavuna points ngapi?
 
Ukiachana na Simba, je ni timu gani kwa Africa au ulaya ambayo inajivunia kwa takwimu? Al Ahly ambayo imebeba makombe ya champions league mara kibao, je mashabiki wamepagawa na takwimu kama mlivyopagawa nyie? Hao Royal Antwerp F.C hawahadaiki na hizo takwimu.
Haya yote yangejibika endapo hii forum ingekuwa na mashabiki wa Al ahly

Humu kuna mamluki ambao hamueleweki, kama saizi mko kwa berkane lakini baada ya mechi mtamsusa
 
Kwani Yanga ni ya ngapi ki Afrika na ki Dunia ?
Kwani kuweka rank ya timu yako ni dhambi ?
 
Haya yote yangejibika endapo hii forum ingekuwa na mashabiki wa Al ahly

Humu kuna mamluki ambao hamueleweki, kama saizi mko kwa berkane lakini baada ya mechi mtamsusa
Jipe kazi nyepesi tu. Mitandao ya kijamii ipo wazi tu kila mmoja kuweza kuingia, embu kaingie pge ambayo inahusisha mashabiki wa Al Ahly halafu uone kama wanaakili ya kujivunia namba (nafasi) badala ya makombe.
.
Kuhusu Berkane mimi sijazungumzis hilo japo inafahamika uwezekano w simba kushinda ni asilimia 89 huku sare ikiwa ni asilimia 10 kufungwa ni asilimia 1
 
Nime scroll mpaka club ya mwisho ya jiti tatu na tisini lakini sijaona neno young au yanga

Tufahamishane kama kuna jina lingine altenative ambalo ndugu zetu wanalitumia kisirisiri
Hahahaaaaa!
 
The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)

1. [emoji1093] Al Ahly - (20)
2. [emoji1093] Pyramids - (55)
3. [emoji1173] Wydad - (78)
4. [emoji1221] Sundowns - (92)
5. [emoji1241] Simba - (98)
6. [emoji1026] CR Belouizdad - (104)
7. [emoji1026] JS Kabylie - (113)
8. [emoji1029] Petro Luanda - (133)
9. [emoji1249] CS Sfaxien - (136)
10. [emoji1249] ES Tunis - (141)
Vituko haviishi duniani yaani Simba ni bora kuliko Raja Casablanca, ES Tunis, TP Mazembe kwa lipi hasa?
 
Jipe kazi nyepesi tu. Mitandao ya kijamii ipo wazi tu kila mmoja kuweza kuingia, embu kaingie pge ambayo inahusisha mashabiki wa Al Ahly halafu uone kama wanaakili ya kujivunia namba (nafasi) badala ya makombe.
.
Kuhusu Berkane mimi sijazungumzis hilo japo inafahamika uwezekano w simba kushinda ni asilimia 89 huku sare ikiwa ni asilimia 10 kufungwa ni asilimia 1
Swala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.

Hili unaliongelea wewe kwasababu timu yako haipo kwenye hizo rank na una wish ungekuwepo
 
Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons

Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana

Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?

Jiulize hivi: mbona al ahly ya misri ni miongoni kwa timu tatu duniani zenye mafaniko makubwa kiwanjani ilhali kiutajiri hàiifikii hata robo ya Norwich city?

Tutofautishe mafanikio ya klabu kiwanjani dhidi ya mafaniko ya klabu kimapato

[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

1) Simba hakuweza kushiriki robo fainali consecutive. Msimu alipoingia robo fainali msimu ulifuaya akatolewa na UD Songo.

2) ndani ya misimu miwili iliyofuatana ES Tunus wamecheza robo na nusu fainali lakini mbona wapo chini? Kama kigezo ni mafanikio?
 
Swala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.

Hili unaliongelea wewe kwasababu timu yako haipo kwenye hizo rank na una wish ungekuwepo
Sawa mkuu nawish timu yangu kuwepo, kama kuna tuzo za rank au kombe la rank. Zaidi ya hapo hakuna maana
 
Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons

Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana

Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?

Tuwekane sawa hapa 5imba haikutinga robo fainali misimu 2 kwa kufuatana. Unaikumbuka UD SONGO ya Msumbiji wewe?
 
Swala la wao kutoshangilia sio kigezo cha kuwafanya wengine wasishangilie.

Hili unaliongelea wewe kwasababu timu yako haipo kwenye hizo rank na una wish ungekuwepo
Simba ipo juu ya Zamaleki? [emoji3064][emoji3064]
 
mpka leo Pele wa brazili anaonekana ndo mchezaji , mfungaji bora duniani kwa mabao aliofunga ligi ya Brazili
 
Hivi Makolo mpaka wawe bora wameshachukua Kombe gani Africa?
 
Back
Top Bottom