Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Part aliyokuwa anaicheza Manara pale mkiani ni kubwa sana, hata mikia wenyewe wanalijua hilo sema wamechagua kwenda na mwenye pesa, siku ya mwananchi pale kwa Mkapa Manara atakuwa mgeni mwalikwa toka mkiani na tutampa mic hata kwa dk 5 apate kuwakera mikia 😂
 
alishawahi kuwa simba msemaji zamani pia ni mwandishi mzoefu sema nimekumbuka kisa kimoja nimecheka sana, simba ilikuwa inafanya vibaya miaka hiyo ikatokea vurugu pale msimbazi jamaa alitimuka mbio vibaya sana akaruka ukuta huku nyuma kawaachia manyoya ila ilikuwa ile simba yenye shida za pesa hata mshahara ilikuwa shida
PICHA TAFADHALI..!😌
 
Party aliyokua anaicheza manara pale mkiani ni kubwa sana,hata mikia wenyewe wanalijua hilo sema wamechagua kwenda na mwenye pesa,siku ya mwananchi pale kwa mkapa manara atakua mgeni mwalikwa toka mkiani na tutampa mic hata kwa dk 5 apate kuwakera mikia [emoji23]
Mchukueni sasa mbona mnalialia baada ya kitendea kazi chenu kunyofolewa.
 
kabisa sasa ataona nguvu yake akiwa nje ya simba ni vyema ajipime vizuri mda si mrefu atarudi kwenye siasa za CCM
Kule nako si alinyea kambi kwa utapeli wa Magari. Aisee unajua unaweza ikafikiri wanaonewa, watu wengi wa Kariakoo(sio wote) ni WASWAHILI!
 
Kule nako so alinyea kambi kwa utapeli was Magari.Aisee unajua unaweza ikafikiri wanaonewa, watu wengi(sio wote) no WASWAHILI!
Nakumbuka tena alikuwa katibu mwenezi wa CCM Dar es Salaam akaiba magari ya watu akaenda kula bata Dubai, Unadhani akirudi leo watamkatalia? Kama Sabaya alifoji kitambulisho cha Tiss akala ukuu wa wilaya sembuse huyu?
 
Manara alikuwa anazingua, kwenye press ya Simba lazima azungumzie Yanga utadhani ligi kuu ni Yanga na simba tu, hazungumzii Mambo ya msingi ni kusifia wachezaji na watu binafsi na huwa mengi anayosema siyo maagizo ya timu.

Manara amehamasisha ila alipofika imetosha maana anataka kuwapanda mabegani hadi waajiri wake na anataka timu nzima na bodi ndo imsikilize yeye, hivi alivyokuwa anaropoka mnadhani alikuwa hatoi Siri za timu kwa wapinzani?

Akigombana na waandishi au akisema kitu ni kama Simba ndo imesema.

Haya tuone nani maarufu yeye na Simba
 
Manara hajawahi kuwa msaliti, labda Mo ndio msaliti wenu
Shida ni hii ilipo anzia boss anapenda fitna na pesa zenyewe hana.

IMG-20210724-WA0052.jpg
 
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Hawez kushuka yule, subiri uone itakavyokuwa
 
Ila yule CEO yupo smart amemjibu kwa barua tu, Manara alijiona Mungu mtu kwa mikia........japo simba imempa umaarufu ambao hawezi kufa njaa mjini.

Vita ya mikia tunawaachia mikia wenyewe
 
Back
Top Bottom