Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Pamoja na kweli kua Simba imempatia jina kubwa na kuanza kupata deals nyingi nyingi,

lakini ukweli ni lazima usemwe pia Haji Manara alijitahidi kwa dhati kuchochea ukuaji wa jina la Simba kuimaridadisha na niukweli ameongeza washabiki ambao hawakupenda sana mpira kuichagua Simba kama timu yao rasmi.

Umaarufu ulimzidi, ukaanza kumpa kibri,ndio kosa kubwa alilolifanya na hapo ndipo ukawa mwisho wake.
Acha kufuraisha Yani manara kakuza jina la simba like serious, Simba inaheshimika kwa soka lake na sio mtu individual
 
kamwaga naye atakuwa anapewa laki saba?
Atalipwa Tsh Milioni 4 kwa Mwezi kama Mshahara ambao Haji Manara alizikataa kwakuwa anajua angeukubali huo Mshahara Basi zile 'endorsments' zake zingine za ASAS Diary, Azam Products na GSM zingefikia Ukomo.

Nje ya huo Mshahara wa Tsh Milioni 4 ambazo Ezekiel Kamwaga atakuwa akilipwa pia atakuwa anapata Posho mbalimbali pamoja na 'privileges' zingine ambazo zitamfanya awe 'Comfortable' katika Kuitumikia Simba SC 'Kiuweledi' zaidi.
 
Japo Manara anamatatizo yake ila amejitahidi kuijenga brand ya Simba sema shida mo alitaka amtumie kwenye biashara zake kwa mgongo wa Simba sasa jamaa naye ni mjanja akaruka sasa akamtumia dada CEO kumpiga fitna ili yeye asionekane anahusika. Mo ni kanjanja anaitumia Simba na rasilimali zake kwa manufaa ya biashara na kampuni zake
 
Ila kbongo bongo yule mropokaji aliwapa hamasa sana mikia zile Fluke fluke zake ziliwafanya mikia waone wanawapiga kaizer asubuh tuu..[emoji16][emoji16]
 
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Acha utoto mkuu Manara ni mtu maarufu tangia zamani. Hats kabla ya simba, amefanya kazi vituo vingi wa television. Na nakuhakikishia nyota take ndio kwanza itazidi kung'aa hulu msimbazi kukifubaa
 
Alishawahi kuwa simba msemaji zamani pia ni mwandishi mzoefu sema nimekumbuka kisa kimoja nimecheka sana, simba ilikuwa inafanya vibaya miaka hiyo ikatokea vurugu pale msimbazi jamaa alitimuka mbio vibaya sana akaruka ukuta huku nyuma kawaachia manyoya ila ilikuwa ile simba yenye shida za pesa hata mshahara ilikuwa shida
Daah iyo incident umenikumbsha mkuu nimecheka sana
 
Niseme tu kwamba, Idara ya usemaji itayumba
Bora iyumbe kuliko kua na mtu ambae anayeiingiza taasisi nzima kwny conflicts kwa maslahi yake binafsi.

Al Alhy ni ma bingwa wa africa mara kibao ulishasikia msemaj wao ni nan..aya mambo ya kiswahili inabid tuyaache kama taasisi imeamua kusimamia professionalism inabid iwe ivo.
 
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Huko insta followers wake wengi ni Simba. Wengi wata m unfollow na ndio umaarufu utazidi kushuka. Halafu zile kauli zake na waandishi wa habari sasa ndio watamsusa jumla.
 
Back
Top Bottom