Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Manara ndio basi tena[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
We mdada hujambo? Nakuvizia kila siku kama umerudi

My condolences

Halafu muacheni zungu wetu Manara jamani. Ujeuri was fedha ndo umemfikisha hapo
.
Ila pia itakua ni ujinga kutotambua kazi yake kubwa aliyofanya. Jamaa jembe aisee na ametutendea haki wanasimba na nafasi yake aliyopewa
 
Alishawahi kuwa simba msemaji zamani pia ni mwandishi mzoefu sema nimekumbuka kisa kimoja nimecheka sana, simba ilikuwa inafanya vibaya miaka hiyo ikatokea vurugu pale msimbazi jamaa alitimuka mbio vibaya sana akaruka ukuta huku nyuma kawaachia manyoya ila ilikuwa ile simba yenye shida za pesa hata mshahara ilikuwa shida
aah aaah aah
 
"Tunamshukuru kwa maneno aliyoyatumia kutuaga wanasimba katika kundi la viongozi wa Simba (Simba HQ), kwa kazi aliyoifanyia klabu katika kipindi alichoshika nafasi na inamtakia kila heri katika shughuli zake,".

aliyepo kwenye kundi la viongozi wa simba atuambie mzungu mzaramo ametumia maneno gani kuwaaga viongozi wa simba.

cc GENTAMYCINE
 
Kwa masikitiko makubwa kwa moyo wa unyonge niseme tuu babra ana roho mbaya sana Sasa Simba umekuwa timu Mali ya mo na babra mbona wanachama hatukushirikishwa kwa hilo la msemaji wetu kipenzi haji😭😭😭😭😭
 
semaji sleeper agent la GSM sasa liko huru mnaweza kuliajiri hapo kwa injinia full time kwa milion 25
 
Haji Manara HM ni zaidi ya Simba, ngoja tuone Simba itafikia wapi ..Simba bila Manara sioni kama itafika popote..
 
Manara hakua na msaada wowote kwetu amini nakuambia, mmetafuta tu sehemu ya kummwaga, jamaa alikua honest sana, tena kwa taarifa yako ushawishi wake uliwafanya hadi aweze kuwashawishi wachezaji baadhi waje kwenu,pale mmepoteza jembe mnajikaza tu
We bwege kweli... Utopolo mchukueni huyo aliyewaita takataka . Simba hatutaki watu wa aina yake.
 
Watani zetu Simba SC wameamua kuenenda KIPROFESHENI....

Wamesema ndg.Haji Manara ameomba kuachana nao na sikuona neno kuwa AMEONDOLEWA katika nafasi yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Thadeo Lwanga ule mwiko uliokuwa huko nyuma ameushindilia na kuuzamisha ndani kabisa ili usionekane tena asilani
 
Manara hakua na msaada wowote kwetu amini nakuambia, mmetafuta tu sehemu ya kummwaga, jamaa alikua honest sana, tena kwa taarifa yako ushawishi wake uliwafanya hadi aweze kuwashawishi wachezaji baadhi waje kwenu,pale mmepoteza jembe mnajikaza tu
Kama jembe likongomekeni mpini mlitumie kwa raha zenu.
 
Huyu mtu alikua akiniudhi sana kujifanya mjuzi wa kila kitu hakuna asichojua. Kukaa Kariakoo basi yeye kila kitu anajua! Na kusema watu anavyotaka. Akisemwa yeye haraka anajificha kichaka cha kuhurumiwa kwa ulemavu wa ngozi. Aende zake.
 
Ila yule CEO yupo smart amemjibu kwa barua tu, Manara alijiona Mungu mtu kwa mikia........japo simba imempa umaarufu ambao hawezi kufa njaa mjini.

Vita ya mikia tunawaachia mikia wenyewe
Yeye si alizoea akina Shaffih dauda anajibizana nao kwenye social network. Ko alijua CEO atakua anamjibu. Ndo maana hata kwenye clip anasema kabsa nitaziweka hadharani hizi clipi
 
Back
Top Bottom