Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Aende tu, Mimi naendaga Taifa kwa mapenzi yangu wala sio kwa kushawishiwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kuna watu mna akili za kijinga sana.....Zile kelele zake za kijinga ndio ziwazuie akina Chama, Miquissone, Bwalya wasi perform uwanjani kisa Haji hayupo.
Uwepo wa Haji Manara HM ulichañgamsha sana soka la bongo na mashabiki wengi wa simba walitembea kifua mbele kwa sababu ya ujasiri wa Manara. Hii kitu italeta shida sana kwa club hii maana kumpata msemaji kama Manara itakuwa ngumu sana .
Hata Tanga alipoondoka Jerry Muro kama msemaji timu ilikosa mvuto kabisa.

Manara was the best..
 
Club kama ni kubwa hauhitaj mambo ya amasa..umesikia Man U au liver au Al alhly m2 wake wa amasa anaitwa nan..kinacho matter ni ubora wa team sio kupiga mdomo tu kama team ni bora ukishinda kwake ndo kutaleta amasa na sio vinginevyo.
Usifananishe mpira wa bongo na huko ulaya. Nafasi ya msemaji huko kwa wenzetu siyo muhimu sana kama huku kwetu. Kabla ya Manara kuja simba na baada ya manara kuja simba huoni kuna tofauti kubwa.

Manara atabaki kuwa msemaji bora kuwahi kutokea katika hii Mkia Club
 
Kwa mashabiki wa mpira na simba, simba bado ipo,
na wale mashabiki wa manara hoyahoya mlango mweupe
 
Unataka kusema Haji hakuwa na mchango wowote katika kuhakikisha mechi za kimataifa zinakuwa na ladha kwa mashabiki........Hatukatai Simba imempa jina Manara, ila Haji mchango wake umekua mkubwa sana kwenye kuleta hamasa kwa mashabiki
Ladha kwa mashibik ni ushindi mkuu..haji anasaidia kupiga domo tu ambayo kwa mpr wa sasa hauna nafas kwa sbb sik iz uwekezaj mzr unakupa mafanikio...sikatai mchango wa Haji kuleta lbd fans uwanjan ivo lkn siioni namna gani simba itashuka kisa yy kuondoka..Haji ni m2 wa kawaida sana na hawez kua na impact ya matokeo kwa kuondoka kwake na mpr ni matokeo ndo furaha ya sisi mashabik na vikombe sio porojo.
 
Manara Umefanya kazi nzuri, lakini ulianza kujiona wewe ni zaidi ya Simba Sport Club.
Inatosha kusema Asante sana.
 
Ladha kwa mashibik ni ushindi mkuu..haji anasaidia kupiga domo tu ambayo kwa mpr wa sasa hauna nafas kwa sbb sik iz uwekezaj mzr unakupa mafanikio...sikatai mchango wa Haji kuleta lbd fans uwanjan ivo lkn siioni namna gani simba itashuka kisa yy kuondoka..Haji ni m2 wa kawaida sana na hawez kua na impact ya matokeo kwa kuondoka kwake na mpr ni matokeo ndo furaha ya sisi mashabik na vikombe sio porojo.
Kweli kabisa......ila tusiombe ligi ikapoa kama ya Kenya
 
Lile jambo letu limekamilika sasa tunashughulika na mengine. Vipi huko Uto fc? Bado mpili anatembea na mabaunsa?
Tulimpeleka Kigoma kwa kwa ndege, baada ya mechi tukamuacha ameamua kurudi na Kisbo
 
Ligi itapoa sana mechi ya simba na yanga itakuwa kama lipuli na ridico ya Lindi tu
Ina maana mechi ya fainali tarehe 25 huko Kigoma ilikua imepoa ?

Mechi za Simba na Yanga kabla ya Haji kuwa msemaji wa Simba zilikua hazina msisimko ?

Kabla ya Haji kuzaliwa je ?

Hebu iheshimu Derby mkuu.
 
Acheni Upuuzi na Upofu wa Akili hata wakati wa akina Seydou Rubeya, Juma Nkamia na Clifford Ndimbo Simba SC ilitangazika vyema kuliko mnavyopotosha hapa.

Halafu acheni kuwa Wapumbavu ( Fools ) Simba SC haijatangazika kwa sababu ya uwepo wa Haji Manara bali ni Mafanikio ( Performance ) ya Simba SC Uwanjani ndiyo imeitangaza zaidi.

Barcelona FC, Liverpool FC, Bayern Munich na PSG zimetangazika ( zinajulikana ) kutokana na Maafisa Habari wao? Umeshawajua Maafisa Habari wao tokea uanze Kufuatilia Masuala ya Mpira?

Mnatukera na huyo Mpuuzi Mwenzenu.

Yalichagizwa na manara
 
Back
Top Bottom