Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Nahis manara ataenda kuwa pundit kwenye vipind vya tv, hasa Azam... maana alishawah endesha kipind chake cha habari za michezo na historia Azam na youtube.. sasa hv atakuwa na mda mzuri wa kuweza kufanya hivyo..
halafu wale wachezaji wa utopolo aliokuwa anawaita takataka atakuwa anawakandia au kuwasifia? maana kama kweli mtu kama kaseke kakosea yeye akichambua na kumkandia unadhani kuna watu watamuelewa?
 
Alikuwa VUVUZERA sio msemaji kila la kheri aendako.
 
Alishawahi kuwa simba msemaji zamani pia ni mwandishi mzoefu sema nimekumbuka kisa kimoja nimecheka sana, simba ilikuwa inafanya vibaya miaka hiyo ikatokea vurugu pale msimbazi jamaa alitimuka mbio vibaya sana akaruka ukuta huku nyuma kawaachia manyoya ila ilikuwa ile simba yenye shida za pesa hata mshahara ilikuwa shida
Hivi huyu jamaa ndio huwa alikuwa anaandika makala kwenye Mwanaspoti anajiita Mr. Liverpool?
 
Mafundisho ya dini zetu yanatusisitiza TUOMBE TUWE NA MWISHO MWEMA, Haji Manara amefanya mengi makubwa ambayo yangemfanya aondoke kwa heshma, lakini njia aliyoichagua kuondokea Simba imeharibu heshIma yake yote aliyojitengenezea pale Simba.

Kwa utoto alioufanya, haya maamuzi ya Simba nayaona yapo sahihi sana.
 
Club kama ni kubwa hauhitaj mambo ya amasa..umesikia Man U au liver au Al alhly m2 wake wa amasa anaitwa nan..kinacho matter ni ubora wa team sio kupiga mdomo tu kama team ni bora ukishinda kwake ndo kutaleta amasa na sio vinginevyo.
Unataka kusema Haji hakuwa na mchango wowote katika kuhakikisha mechi za kimataifa zinakuwa na ladha kwa mashabiki........Hatukatai Simba imempa jina Manara, ila Haji mchango wake umekua mkubwa sana kwenye kuleta hamasa kwa mashabiki
 
Manara ndo alinifanya niipende simba aise
Huyo babra tumepigwa,hakuna kiongozi hapo!
 
Back
Top Bottom