Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
La mkono? Ajaye ni power tiller sasaManara ni Jembe asikudanganye mtu
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.Haji ana madili mengi sana nje ya Simba na ndio hayo yanayompa kiburi..
PICHA TAFADHALI..!😌alishawahi kuwa simba msemaji zamani pia ni mwandishi mzoefu sema nimekumbuka kisa kimoja nimecheka sana, simba ilikuwa inafanya vibaya miaka hiyo ikatokea vurugu pale msimbazi jamaa alitimuka mbio vibaya sana akaruka ukuta huku nyuma kawaachia manyoya ila ilikuwa ile simba yenye shida za pesa hata mshahara ilikuwa shida
Leo nyani wa pori la Utopolo ndiyo watetezi wa Haji?Manara hajawahi kuwa msaliti, labda Mo ndio msaliti wenu
Simba ndiyo imemtangaza Haji, kabla ya hapo nani alimjua huyu roporopo?Manara pamoja na sifa zake,kajitahidi Sana kuitangaza Simba
Mchukueni sasa mbona mnalialia baada ya kitendea kazi chenu kunyofolewa.Party aliyokua anaicheza manara pale mkiani ni kubwa sana,hata mikia wenyewe wanalijua hilo sema wamechagua kwenda na mwenye pesa,siku ya mwananchi pale kwa mkapa manara atakua mgeni mwalikwa toka mkiani na tutampa mic hata kwa dk 5 apate kuwakera mikia [emoji23]
Kule nako si alinyea kambi kwa utapeli wa Magari. Aisee unajua unaweza ikafikiri wanaonewa, watu wengi wa Kariakoo(sio wote) ni WASWAHILI!kabisa sasa ataona nguvu yake akiwa nje ya simba ni vyema ajipime vizuri mda si mrefu atarudi kwenye siasa za CCM
rudi page ya kwanza kwenye uzi MODS wameweka picha yakePICHA TAFADHALI..!😌
Nakumbuka tena alikuwa katibu mwenezi wa CCM Dar es Salaam akaiba magari ya watu akaenda kula bata Dubai, Unadhani akirudi leo watamkatalia? Kama Sabaya alifoji kitambulisho cha Tiss akala ukuu wa wilaya sembuse huyu?Kule nako so alinyea kambi kwa utapeli was Magari.Aisee unajua unaweza ikafikiri wanaonewa, watu wengi(sio wote) no WASWAHILI!
Haina noma Haji amerudi home sweet home...
Jangwani nyumbani kwa baba na mama
Shida ni hii ilipo anzia boss anapenda fitna na pesa zenyewe hana.Manara hajawahi kuwa msaliti, labda Mo ndio msaliti wenu
Hawez kushuka yule, subiri uone itakavyokuwaSimba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Yeah ni conflicts of interest tuShida ni hii ilipo anzia boss anapenda fitna na pesa zenyewe hana View attachment 1871279