Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Sielewi kidogo maana ya (T) kwenye jina la kampuni. Mimi nilijua kuwa tawil la kampuni multinational lililoko Tanzania ndilo huwekewa alama ya (T) kuonyesha kuwa tawi hilo linajitegemea kwa Tanzania na haliwakilishi siyo kampuni yote. Je sasa Vunjabei(T) maana yake ni kwamba kampuni hii imezagaa sehemu nyingi za dunia ila tawi la Tanzania ndilo linalohusika na tangazo hilo tu? Anayejua vizuri haya mambo ya trademarks, DBA and businness names anisaidie.
 
Nipo hapa Johari Rotana kama moja ya wahudhuriaji. Nipo hapa kuwaletea kinachojiri

Ahmed yupo Live kutuambia nini kitakachojiri.
Sundaland anatangazwa kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za Simba Sc. Mkataba ni miaka miwili kwa thamani ya bilioni 2 kwa kila mwaka.



SIMBA YAACHANA NA VUNJA BEI, YASAINI MKATABA WA TSH. BILIONI 4
Simba imesaini mkataba wa miaka miwili wa utengenezaji na usambazaji wa jezi na Kampuni ya Sandaland The Only One, ambapo kwa mwaka mmoja utakuwa na thamani ya Tsh. Bilioni 2

Mdhamini wa jezi wa klabu hiyo aliyepita Vinja Bei alisaini mkataba wa Tsh. Bilioni 1 kwa mwaka

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’ amesema “Wanasimba watarajie mambo makubwa ikiwemo katika usajili unaofuata wakati tukishuhudia nyumba ya jirani ikiendelea kuungua.”

Sawa tu mradi isiwe mambo ya kidubaidubai na kibandaribandari
 
Baada ya kutoka patupu wameamua kutengeneza kombe la kisasa

Mabingwa wa mkataba mpya 2023/24
Hongera sana
 
Back
Top Bottom