Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Anaongea hapa kwenye kipaza
Huyo pamoja na kufahamika kuwa ni Uto lia lia lakini bado amepewa mwaliko.

Ingekuwa ni shuhuli ya Gongowazi usingeona ana alikwa mwana habari yeyote ambaye anaipemda Simba.

Uliona kwenye ile cherry pick ya kuchagua wachambuzi wakwenda Algeria walivyofanya Roho mbaya kwa kuwaengua baadhi ya wachambuzi ambao hawaonekani kuisifia Yanga?

Gongowazi wana roho mbaya sana hata kwenye vitu vidogo wao wana catch feelings.
 
Hiyo pamoja na kufahamika kuwa ni Uto.lia lia lakini bado amepewa mwaliko.

Ingekuwa ni shuhuli ya Gongowazi usingeona ana alikwa mwana habari yeyote ambaye anaipemda Simba.

Uliona kwenye ile cherry pick ya kuchagua wachambuzi wakwenda Algeria walivyofanya Roho mbaya kwa kuwaengua baadhi ya wachambuzi ambao hawaonekani kuisifia Yanga?

Gongowazi wana roho mbaya sana hata kwenye vitu vidogo wao wana catch feelings.
Ndicho alichosema Salehe Jembe alinyimwa mpaka chakula na Yanga
 
Hii shuhuli bila makolo kutu husisha hainogi
890076251.jpg
 
Ndicho alichosema Salehe Jembe alinyimwa mpaka chakula na Yanga
Wale jamaa wana ukatili sana yani kitu wanachokifanya hata Jela hakipo.

Jela ambayo ina hifadhi wafungwa wenye matukio makubwa ya kigaidi lakini kwenye swala la msosi bado magaidi wamepewa haki yao.

Na sio haki ya msosi tu, ni kwamba hata wakicheleweshewa msosi wana haki ya kuandamana.

Lakini kwa Yanga wamefanya ukatili kwa Journalist kwa kumnyima msosi yani wame mtreat Journalist kuwa ni zaidi ya Gaidi
 
Back
Top Bottom