Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Vunjabei aliweka proposal ya billion 5 kwa miaka 3. Mbali ya kuchelewesha mzigo kuwatukanisha viongozi kijana alituumiwa na kwa leo sitasema
 
Sandaland ana maduka mikoani? Hapa dar tu nalijua moja la kariakoo.
Hiyo sio sababu. Hezi og za man utd na timu zingine ulaya zipo huku bongo, kwani Nike au Adidas wana maduka bongo?

Yeye akkshaleta mzigo, wenye maduka ya nguo au ya vifaa vya michezo watanunua nyingi kwake kwa jumla wataweka madukani mwao huko mikoani
 
Back
Top Bottom