Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Hata mtaani huku tunaziona kwa wavaaji.

Kuanzia hizo nembo ya timu mpaka sponsor zote zinabanduka.

Kwasababu haziku dariziwa bali zili printiwa tu kienyeji
Ndo maana nimesema hizo ni vinyl zinachomwa kwenye nguo na wala si printing
 
Dah kwa io bonanza lote habari ni kuhusu huyo jamaa kuchukua tenda ya jezi,sijaona kingine Cha maana !!
 
Back
Top Bottom