Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

Simba yaachana na Vunja Bei, yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 4

View attachment 2659864
Nipo hapa Johari Rotana kama moja ya wahudhuriaji. Nipo hapa kuwaletea kinachojiri

Ahmed yupo Live kutuambia nini kitakachojiri.
View attachment 2659894
Sundaland anatangazwa kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za Simba Sc. Mkataba ni miaka miwili kwa thamani ya bilioni 2 kwa kila mwaka.


Ile Podium iliyotu,ika haiendani na hadhi na ukubwa wa Simba na Hotel waliyofanyia hiyo press!!
 
Back
Top Bottom