Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu?

Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw. Mateso Kamau anaonekana mitaani yuko hai na anakanusha kuuawa na huyo Bwana mahakama inaweza kumnyonga huyo mtu kwa kosa la mauaji?

Itakuwaje kama Chama atasema kuwa hajawahi kuwa na mazungumzo na Mwakalebela na hakuna ushahidi kuwa kweli Mwakalebela amezungumza na chama. Mwakalebela atahukumiwa kwa kosa gani kwa kuvunja sheria na kanuni ipi ya soka?

Sanasana ungekuwa wakati mzuri kwa Mwakalebela kupelekwa hospital kupimwa akili (mental status evaluation) ili kujiridhisha afya yake ya akili kwa kusema ameua mtu wakati hakuua mtu.

Au ni kwakuwa Rais wa TFF ni Simba pia ndiyo maana Simba inapeleka huko hata vitu vya hovyo ambavyo hawajavifanyia kazi na kupata ushahidi wake?

Wacha tuone hiyo kesi itaendeshawaje na kuhukumiwaje.
 
kavulata,

Ungejuwa umebobea kwenye mambo ya biashara na brand ungeelewa kwanini Simba wamemshtak TFF. We huoni hata ulaya vilabu vinahizuia kumuongelea tu kwenye media kuwa wanamtaka mchezaj flan achilia mbal kusema kuwa tushaongea nae na kumalizana nae sababu wanajua implication zake katika maswala ya kibiashara. Fred kama kiongoz kauli yake ni kauli ya Yanga, hakuwa professional.

Umeaza kiu Simba na Yanga zaidi ukiwaza kibiashara ungejua kwa nini ni tatizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TFF inayo kanuni hiyo ya kuropoka kuhusu mchezaji? Au ni swala la mchezaji mwenyewe binafsi kuomba fidia Kama anaona amechafuliwa?

Kama usiseme habari za Ulaya, wao Mambo yao yote yako kwenye kanuni. Sheria na kanuni zetu sisi zinahusu kuongea na kufanya mawasiliano na mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi 6. Mwakalebela hajafanya mawasiliano Kama hayo na mchezaji, atahukumiwa kwa kanuni ipi?
 
[emoji3064]
IMG-20200415-WA0004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna weledi kwenye mashitaka haya. Simba ingejiridhisha kwanza kama ni kweli Mwakalebela afanyefa mazungumzo na mchezaji wao kabla ya kufanya ilichokifanya.

Inaonekana Kama sehemu ya maumivu ya kupoteza ile mechi. Aliyewashauri kulipeleka hili shauri TFF hata baada ya Mwakalebela kuomba sahamani ni sehemu ya tatizo lililoko Simba kwa Sasa, amini maneno yangu. Bado haamini kuwa Simba ilifungwa mbele ya Marais 3 na tajiri wao.

To me there should be a step before a step.
 
kavulata,

Ungejuwa umebobea kwenye mambo ya biashara na brand ungeelewa kwanini Simba wamemshtak TFF. We huoni hata ulaya vilabu vinahizuia kumuongelea tu kwenye media kuwa wanamtaka mchezaj flan achilia mbal kusema kuwa tushaongea nae na kumalizana nae sababu wanajua implication zake katika maswala ya kibiashara. Fred kama kiongoz kauli yake ni kauli ya Yanga, hakuwa professional.

Umeaza kiu Simba na Yanga zaidi ukiwaza kibiashara ungejua kwa nini ni tatizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tz hakuna timu iliyofikia huko unakosema branding.
 
Embu uje kujaribu kusema hayo maneno kwamba umemuua huyo Kamau na akusikie akashitaki uone kama utabaki mtaani.
 
TFF inayo kanuni hiyo ya kuropoka kuhusu mchezaji? Au ni swala la mchezaji mwenyewe binafsi kuomba fidia Kama anaona amechafuliwa?

Kama usiseme habari za Ulaya, wao Mambo yao yote yako kwenye kanuni. Sheria na kanuni zetu sisi zinahusu kuongea na kufanya mawasiliano na mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi 6. Mwakalebela hajafanya mawasiliano Kama hayo na mchezaji, atahukumiwa kwa kanuni ipi?
Wewe sio mwanasoka ndio maana huyajui haya!

Mpenda soka yeyote lazima ayatambue haya huwezi kuzungumza na mchezaji wa klabu nyingine yeyote mwenye mkataba ili umsajili pasipo kuiandikia club yake barua kwanza ili mfanye hayo mazungumzo.
.
Nitakupa mfano sakata la Griezman kwenda Barca, Barca walizungumza nae msimu mmoja kabla na wakajua kwenye mkataba wake kuna kipengele ambacho kama watamnunua msimu ule wangetoa paund million 120 lakini kqa msimu ujao dau litashuka sana na ndicho walichokifanya unfortunately Atletico wakagundua na wakawashitaki Barca.
.
Kipengele kipo cha kuzuia hili kwenye katiba ya TFF nikikipata nitakiweka hapa.
 
Hizo sio kanuni za TFF we utopolo ni FIFA so TFF inawajibu wa kucomply
 
Mikia hawana cha kuambia mbumbumbu kiluchobaki ni fix tu kyyadanganya mambumbumbu ili kupotezea muda.
 
sasa kesi ipo mahakaman tusubir hukumu vile itavyokuwa tusitoe hukumu sisi jingine km huoni asari ya kusema kitu nakufundisha.cha kusema kwa hapo ulipo sema nimetembea na mke wa fulan .mpk mumewe asikie kisha sema nilikuwa natania tu sijatembea nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bahati mbaya msingi wa maamuzi ya kesi zote duniani yanajengwa juu ya ushahidi na dhamira.

Ninaposema nimetembea na mkeo kinachoangaliwa ni ushahidi wa kutembea na mkeo na dhamira ya kusema nimetembea na mkeo.

Kwenye jamii zetu tumeruhusu humor/utani Kama sehemu yetu ya maisha. Hata Rais wetu Kuna wakati anasema utani kwenye mikutano na mbele ya kamera Kama sehemu ya kijamii na makabila, lakini hakuna anayesema rais kakosea kwakuwa kasema Kama Rais. Mtani hapigwi, hashitakiwi wala hauwawi kwa alichokisema Kama sehemu ya utani.

Simba na Yanga hawana utani?

Kaka Simba Kuna matatizo zaidi ya CORONA.
Embu uje kujaribu kusema hayo maneno kwamba umemuua huyo Kamau na akusikie akashitaki uone kama utabaki mtaani.
Aaaa mzeee, watani wanayasema mangapi kwenye misiba, sherehe, na hata mitaani?

Ushahidi na dhamira wakati wa kutenda kosa ni muhimu sana
 
Wewe sio mwanasoka ndio maana huyajui haya!
Mpenda soka yeyote lazima ayatambue haya huwezi kuzungumza na mchezaji wa klabu nyingine yeyote mwenye mkataba ili umsajili pasipo kuiandikia club yake barua kwanza ili mfanye hayo mazungumzo.
.
Nitakupa mfano sakata la Griezman kwenda Barca, Barca walizungumza nae msimu mmoja kabla na wakajua kwenye mkataba wake kuna kipengele ambacho kama watamnunua msimu ule wangetoa paund million 120 lakini kqa msimu ujao dau litashuka sana na ndicho walichokifanya unfortunately Atletico wakagundua na wakawashitaki Barca.
.
Kipengele kipo cha kuzuia hili kwenye katiba ya TFF nikikipata nitakiweka hapa.
Utaleta ushahidi uliokamilika kuthibitisha kuwa Mwakalebela amezungumza na Chama kuhusu uhamisho, bilashaka ushahidi wako utaonyesha tarehe, mahali, muda na njia ya mawasialiano iliyotumika (face to face, letter, phone, whatsApp, email, etc)
 
Hizo sio kanuni za TFF we utopolo ni FIFA so TFF inawajibu wa kucomply
kwani mkataba wa Chama umeandikwa aje? una kipengele kinachohusu utani kuwa haruhusiwi kutaniwa?
 
Jaribu kwenda pale tbc fm sema nimemua rais John pombe Magufili, baada ya hapo nenda Wasafi media kaseme naumba radhi kwa kauli yangu ilikuwa ni utani kwa kuwa Magufuli yuko hai. Ukitoka salama njoo unikate kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kitu kingine kabisa, usimfananishe Rais na Mzambia mcheza mpira wa kubahatisha.
 
Back
Top Bottom