kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu?
Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw. Mateso Kamau anaonekana mitaani yuko hai na anakanusha kuuawa na huyo Bwana mahakama inaweza kumnyonga huyo mtu kwa kosa la mauaji?
Itakuwaje kama Chama atasema kuwa hajawahi kuwa na mazungumzo na Mwakalebela na hakuna ushahidi kuwa kweli Mwakalebela amezungumza na chama. Mwakalebela atahukumiwa kwa kosa gani kwa kuvunja sheria na kanuni ipi ya soka?
Sanasana ungekuwa wakati mzuri kwa Mwakalebela kupelekwa hospital kupimwa akili (mental status evaluation) ili kujiridhisha afya yake ya akili kwa kusema ameua mtu wakati hakuua mtu.
Au ni kwakuwa Rais wa TFF ni Simba pia ndiyo maana Simba inapeleka huko hata vitu vya hovyo ambavyo hawajavifanyia kazi na kupata ushahidi wake?
Wacha tuone hiyo kesi itaendeshawaje na kuhukumiwaje.