Nimeamini kweli sisi GONGOWAZI hatuna akili
Kwenye sheria kila neno linazingatiwa, hauwezi kuachwa kua ulisema kama utani kwasababu neno lako halijaleta effect yeyote phsically
Unaweza kuachwa huru endapo watajiridhisha na vipimo kua sio mgonjwa wa akili, na sio kwamba uko huru kwasababu umetania
Kusema "nimemuua" hata kama "hujamuua" unakua umefanya kosa kwa kutishia kuua mtu
Kama ukisema "nimemuua mtu" halafu huyo mtu bado yuko hai na watu wakawa wanakutuhumu kwa kauli yako hiyo, kuna sababu yeyote ya kujitetea na kuomba msamaha kama kweli hoja ya kusema mtu uliyesema umemuua yuko hai? Kwanini uombe msamaha?
Kwanini anatumia nguvu kubwa kuomba msamaha kama kweli sio kosa?