Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

Simba inajua wazi yanga hawajaongea na chama na wala uwezo huo hawana wanachofanya ni kumshikisha adabu kiongozi wenu aache kiroporopo cha ki utoporo toporo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye utani hakuna kanuni wala sheria. Kama ni hivyo manara atatumbukia kwenye visima vya aina hiyo. Wao waanze na Yanga watamaliza baadae
 
Kanuni zinambana Chama vile vile. Kama kweli yalikuwepo mazungumzo na hakusema,basi kifungo miezi sita na faini juu ni haki yake.

Lakini Chama akikana na atakana tu, bado la Mwakakebela ni la kuvunda. Kusema uongo wa aina hiyo kuna adhabu yake.

Huko tuendako ni vyema Haji akawa makini sana. Kauli nyingi za kuidhalilisha Yanga zitamtokea puani maana utani haupo tena.
TFF inayo kanuni hiyo au ndiyo unapendekeza Sasa iwepo kanuni ya kusema uwongo TFF
 
Uchwara au halisi? Kama wapo halisi basi wangepaswa kuifile kesi vingine sio Kama walivyoipeleka TFF.
Waifile ili waipeleke mahakamani au wapi kwingine?
Evodius Mtawala unamfahamu?
 
Mfano wako si sahihi.

Ungeuliza mtu "akisema ataua" je atachukuliwa amekosea pale utakapokuja ushahidi baada ya kuua?

Kutishia kuua ni kosa na kuua pia ni kosa kubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi hawasomi sheria...wangekuwa angalau wanapitia Penal code wangeweza angalau kufahamu kuwa wanapaswa kuwa na nidhamu ndani ya jamii
 
Watanzania wengi hawasomi sheria...wangekuwa angalau wanapitia Penal code wangeweza angalau kufahamu kuwa wanapaswa kuwa na nidhamu ndani ya jamii
Humor ipo kwenye jamii zote, ndiyo maana Kuna fool's day. Mara nyingi intention and evidence count wakati wa kuhukumu. Hebu tuone intention ya Mwakalebela ilikuwa nini wakati aliposema amezungumza na Chama na je, akizungumza na mchezaji huyo kweli? Mchezaji mwenyewe mlengwa amekanisha kuongea na Mwakalebela, Sasa ni juu ya mlalamikaji kuthibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa chama amefanya mazungumzo na Mwakalebela. Lasivyo Mwakalebela atakuwa ametenda kosa lingine lisilohusiana na TFF.
 
Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu?

Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw. Mateso Kamau anaonekana mitaani yuko hai na anakanusha kuuawa na huyo Bwana mahakama inaweza kumnyonga huyo mtu kwa kosa la mauaji?

Itakuwaje kama Chama atasema kuwa hajawahi kuwa na mazungumzo na Mwakalebela na hakuna ushahidi kuwa kweli Mwakalebela amezungumza na chama. Mwakalebela atahukumiwa kwa kosa gani kwa kuvunja sheria na kanuni ipi ya soka?

Sanasana ungekuwa wakati mzuri kwa Mwakalebela kupelekwa hospital kupimwa akili (mental status evaluation) ili kujiridhisha afya yake ya akili kwa kusema ameua mtu wakati hakuua mtu.

Au ni kwakuwa Rais wa TFF ni Simba pia ndiyo maana Simba inapeleka huko hata vitu vya hovyo ambavyo hawajavifanyia kazi na kupata ushahidi wake?

Wacha tuone hiyo kesi itaendeshawaje na kuhukumiwaje.
yaani wew unajiona una akili sana kuliko viongozi wa simba. sasa mbona mwakalebela ameomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini kweli sisi GONGOWAZI hatuna akili

Kwenye sheria kila neno linazingatiwa, hauwezi kuachwa kua ulisema kama utani kwasababu neno lako halijaleta effect yeyote phsically

Unaweza kuachwa huru endapo watajiridhisha na vipimo kua sio mgonjwa wa akili, na sio kwamba uko huru kwasababu umetania

Kusema "nimemuua" hata kama "hujamuua" unakua umefanya kosa kwa kutishia kuua mtu

Kama ukisema "nimemuua mtu" halafu huyo mtu bado yuko hai na watu wakawa wanakutuhumu kwa kauli yako hiyo, kuna sababu yeyote ya kujitetea na kuomba msamaha kama kweli hoja ya kusema mtu uliyesema umemuua yuko hai? Kwanini uombe msamaha?

Kwanini anatumia nguvu kubwa kuomba msamaha kama kweli sio kosa?
 
TFF inayo kanuni hiyo au ndiyo unapendekeza Sasa iwepo kanuni ya kusema uwongo TFF
Ipo

Tumeiga kwa wenzetu. Bringing the game in disrepute. Kuifadhaisha Jamii ya soka. Uongo unaingia hapo.
 
Nimeamini kweli sisi GONGOWAZI hatuna akili

Kwenye sheria kila neno linazingatiwa, hauwezi kuachwa kua ulisema kama utani kwasababu neno lako halijaleta effect yeyote phsically

Unaweza kuachwa huru endapo watajiridhisha na vipimo kua sio mgonjwa wa akili, na sio kwamba uko huru kwasababu umetania

Kusema "nimemuua" hata kama "hujamuua" unakua umefanya kosa kwa kutishia kuua mtu

Kama ukisema "nimemuua mtu" halafu huyo mtu bado yuko hai na watu wakawa wanakutuhumu kwa kauli yako hiyo, kuna sababu yeyote ya kujitetea na kuomba msamaha kama kweli hoja ya kusema mtu uliyesema umemuua yuko hai? Kwanini uombe msamaha?

Kwanini anatumia nguvu kubwa kuomba msamaha kama kweli sio kosa?
Kosa litakuwa kusema uongo na kuufadhaisha mpira. Hakuna zaidi.
 
yaani wew unajiona una akili sana kuliko viongozi wa simba. sasa mbona mwakalebela ameomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Amewahi mno kuomba msamaha, lakini hata wewe Kama utamtania mtoto mdogo kwa kumuita mchumba kisha mtoto akalia sana kwa kuitwa mchumba lazima utamuomba samahani yaishe, tena hata zawadi utamnunulia bila kupenda.

Hivyo Mwakalebela aliwaita Simba mchumba wakalia mno kwa kuitwa mchumba hivyo ikambidi aombe msamaha yaishe na wanyamaze kukia
 
Mwakalebela amesema hajaongea na Chama

Chama kasema hajaongea na Mwakalebela

Mwalimu wa Madrasa analazimisha kesi iendelee

Hii lazima itakuwa aibu yake/yao

Mwakalebela amejishushia heshima flani (ambayo kikanuni haina madhara yoyote) lakini bahati nzuri kwake, kwa bongo vitu huwa vinasahaulika mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humor ipo kwenye jamii zote, ndiyo maana Kuna fool's day. Mara nyingi intention and evidence count wakati wa kuhukumu. Hebu tuone intention ya Mwakalebela ilikuwa nini wakati aliposema amezungumza na Chama na je, akizungumza na mchezaji huyo kweli? Mchezaji mwenyewe mlengwa amekanisha kuongea na Mwakalebela, Sasa ni juu ya mlalamikaji kuthibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa chama amefanya mazungumzo na Mwakalebela. Lasivyo Mwakalebela atakuwa ametenda kosa lingine lisilohusiana na TFF.
Sawa....pamoja na maelezo mazuri Mwakalebela amefanya kitu Cha hovyo kabisa...anasema na chombo Cha habsri I'll kitangaze kwa umma halafu baadaye anasema ulikuwa utani...hi haiingii akilini....of course ni kweli Simba nap wamekurupuka kulipeleka TFF kwani Chama mwenyewe alishasema hajazungumza na kiongozi yoyote yule wa Yanga
 
Haya ni mashtaka ni mwendelezo wa matokeo ya March 8 lakini hakuna jipya hapo kati Simba na Yanga. Hadithi zinazofanana na hilo ziko nyingi sana lakini zote zilifunikwa na utani wao wa jadi. Tff itahangaika na hili kwa kutumia ushabiki wa viongozi tu kushabikia timu hizi
 
kwani mkataba wa Chama umeandikwa aje? una kipengele kinachohusu utani kuwa haruhusiwi kutaniwa?
Hicho ni kitu kingine kabisa, usimfananishe Rais na Mzambia mcheza mpira wa kubahatisha.
dah! kweri we unauwezo mdogo sana wa kufikiri, wewe ktk bandiko lako si ndio uliwek mfano w kauli y mauaji km utetez wako sa watu wakakwambia utoe iyo kauli kuhusu mkuu wa nchi afu unajibu pumba, hii inaonyesha ni jinsi gani kichwa kilivyojaa mashudu, shame on you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu hiyo issue mjomba?

Amejua kakosea ndio maana ameomba radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utani huwa hauna mipaka na hauchagui cha na lakusema, ilimradi tu ifahamike kuwa unaemtania ni mtani wako kweli au ni siku ya utani Kama vile siku ya wajinga, kwenye msiba, nk. Ila uliyemtania akikasirika sio vibaya kiungwana ukimuomba radhi ili maisha yaendelee ingawa tayari message sent.

Kwenye hili Chama na Mwakalebela wote wamekanusha kuwepo kwa mazungumzo ya aina yoyote. Sasa ingekuwa weledi Kama Simba wangetoa ushahidi wa uwepo wa mazungumzo hayo kabla ya kulipeleka swala hilo TFF. Kufanya hivyo ni sawa na babu kumtania mjukuu wake kisha .mjukuu analia na kwenda kumshitaki babu yake kwa Mama yake kuwa babu amemuita mke wake wa pili.

Simba ama inaichezea au kuitumia TFF vibaya au wamekosa watu wenye weledi
 
Back
Top Bottom