Simba yaizidi Yanga kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF

Qatif

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
379
Reaction score
860
Hadi kufikia sasa ambapo Simba ametinga robo fainali kibabe, kwa kumchabanga Horoya mabao 7-0 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika CAFCL, huku Yanga ikitinga robo fainali kombe la Shirikisho Afrika CAFCC, Simba SC imezidi Yanga kwa mbali kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF wanaoshiriki.

Hii ndo maana ya michuano mikubwa kwa timu kubwa kushiriki.[emoji116]


 
Ubingwa upi wa Africa?Ubingwa wa Africa unapatikana kwenye Champions league. Ubingwa wa kombe la Shirikisho ni kama FA ya Azam.Hazipo sawa kihadhi wala kiuchumi.Bingwa ni mmoja tu.
Mkuu huyo hajui kitu, ni shabiki Oya Oya
 
Yaani akili yako yoote imeishia hapa kulinganisha fedha tu hilo tu.dah ama kweli simple minds zipo kibao
 
Yaani akili yako yoote imeishia hapa kulinganisha fedha tu hilo tu.dah ama kweli simple minds zipo kibao
Nimekukwaza? Unataka nilete analysis kwenye mchezo kwani mpira bado upo Live? Acha kunipangia cha kufanya hizo ni shida zako
 
Mlikuwa mnasubiria yanga ifungwe ili mpate vya kuropoka baada ya kutoka kapa mmekuja kujifariji kwa style hii
 
Chukua Calculator yako kisha fanya hesabu ifuatayo. Mo ana % 49 kwenye Club. Chukua mapato waliyopata kisha 49% ya mapato mpe Mo, Tupe jibu ni kiasi gan kinabaki bwana mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…