cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi hapooo utopwengaaa wanaumiaaa had kende zinarudi ndaniii. UwiiiiiiihHapo mumlipe Bigirimana wa Newcastle, mumlipe yule kocha aliyewaita manyani, sidhani hata kama mtabaki na jero.
Pesa ambayo Simba anapata kwa kufika tu robo fainali ya CAFCL, Yanga hawawezi kuiona mpaka wafika fainali ya CAFCC.