Simba yaizidi Yanga kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF

Simba yaizidi Yanga kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF

Hapo mumlipe Bigirimana wa Newcastle, mumlipe yule kocha aliyewaita manyani, sidhani hata kama mtabaki na jero.

Pesa ambayo Simba anapata kwa kufika tu robo fainali ya CAFCL, Yanga hawawezi kuiona mpaka wafika fainali ya CAFCC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi hapooo utopwengaaa wanaumiaaa had kende zinarudi ndaniii. Uwiiiiiiih
 
wakuu utani wa jadi sio vita wala uadui,michezo ni faraha,urafiki,ajira na kuimarisha afya.msifikie kutukanana.

timu yako ikipigwa dongo(vijembe) na mjadi mwenzio rellax usipanick,ilo dongo ndo utani wa jadi wenyewe alikupunguzii wala kuuzidishia chochote wewe na timu yako.akikutukana mpuuze usimjibu(ignore him/her).

igeni mfano wa hawa mashabiki wavumilivu👉 Tate Mkuu Kalpana na Mshana Jr na wengine🙏
 
Haya asante nimepoa.

Avatar yako itawapawisha members wapya wasiojua ule mchongo wako 😂😂
Huyu Kijana kwa kweli ananiumiza sana moyo! ☹️ Maana amechagua njia mbaya kabisa ya kupita katika maisha yake.

Kungekuwa na hospitali ya kumrudisha katika hali yake ya awali, aisee ningekuwa tayari kuchangia chochote ili tu kufanikisha matibabu yake.
 
Haya asante nimepoa.

Avatar yako itawapagawisha members wapya wasiojua ule mchongo wako [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuishiwa hoja, ukaamua kuja na hili?? Hili mbna sio jipyaa tena humu ndanii.

Katadute jingineee njoo nalooo, hili nalimuduuu.
Poleeeeeeeeeh
 
Huyu Kijana kwa kweli ananiumiza sana moyo! [emoji3525] Maana amechagua njia mbaya kabisa ya kupita katika maisha yake.

Kungekuwa na hospitali ya kumrudisha katika hali yake ya awali, aisee ningekuwa tayari kuchangia chochote ili tu kufanikisha matibabu yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa angu unaniogopaaa?? Mbna unadandia kwenye comments za watu kuzungumzia kinacho kutesaaa? Ungeanza kujichangia wee kwan, BP na kisukari vinakutafunaa badalaa uhangaike ujitibu, unahaha na mie.

Poleeeeeeeeeee. Uwiiiiiiiiiih
 
wakuu utani wa jadi sio vita wala uadui,michezo ni faraha,urafiki,ajira na kuimarisha afya.msifikie kutukanana.

timu yako ikipigwa dongo(vijembe) na mjadi mwenzio rellax usipanick,ilo dongo ndo utani wa jadi wenyewe alikupunguzii wala kuuzidishia chochote wewe na timu yako.akikutukana mpuuze usimjibu(ignore him/her).

igeni mfano wa hawa mashabiki wavumilivu👉 Tate Mkuu Kalpana na Mshana Jr na wengine🙏
Na mimi ni mfano wa kuigwa 🤣🤣😂🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuishiwa hoja, ukaamua kuja na hili?? Hili mbna sio jipyaa tena humu ndanii.

Katadute jingineee njoo nalooo, hili nalimuduuu.
Poleeeeeeeeeh
Ya banter nimekubali, ya Avatar nayo bado ta moto hii sio kila member ameshtukia 😂
 
Obviously lazima amshinde Kwa sababu ni mashindano mawili tofauti na pia moja ni shindano kubwa kuliko jingine…kuna haja ya kubisha juu ya hili aiseee
 
wakuu utani wa jadi sio vita wala uadui,michezo ni faraha,urafiki,ajira na kuimarisha afya.msifikie kutukanana.

timu yako ikipigwa dongo(vijembe) na mjadi mwenzio rellax usipanick,ilo dongo ndo utani wa jadi wenyewe alikupunguzii wala kuuzidishia chochote wewe na timu yako.akikutukana mpuuze usimjibu(ignore him/her).

igeni mfano wa hawa mashabiki wavumilivu👉 Tate Mkuu Kalpana na Mshana Jr na wengine🙏
😆 😆 😆 😆 😆
 
Mbona ujaweka pesa za kwenye jezi kifuani za VISIT TANZANIA na HAIER?
Hadi kufikia sasa ambapo Simba ametinga robo fainali kibabe, kwa kumchabanga Horoya mabao 7-0 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika CAFCL, huku Yanga ikitinga robo fainali kombe la Shirikisho Afrika CAFCC, Simba SC imezidi Yanga kwa mbali kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF wanaoshiriki.

Hii ndo maana ya michuano mikubwa kwa timu kubwa kushiriki.[emoji116]

Nimegundua mashabiki ya Simba hayatumii akili vizuri, yanajifarijigi kwa vitu vya kijinga!
 
Back
Top Bottom