Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kuna Africa yao nyingine wameanzisha.Ubingwa wa Afrika watautwaa vipi wakati wenyewe wNshiriki KOMBE la shirikisho. Kuutwa ubingwa LAZIMA ushiriki mashindano ya klabu bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Africa yao nyingine wameanzisha.Ubingwa wa Afrika watautwaa vipi wakati wenyewe wNshiriki KOMBE la shirikisho. Kuutwa ubingwa LAZIMA ushiriki mashindano ya klabu bingwa
Nani alikufundisha kuwa ndio inavyokuwa?Chukua Calculator yako kisha fanya hesabu ifuatayo. Mo ana % 49 kwenye Club. Chukua mapato waliyopata kisha 49% ya mapato mpe Mo, Tupe jibu ni kiasi gan kinabaki bwana mkubwa
Watanzania wengi hawana akiliNani alikufundisha kuwa ndio inavyokuwa?
Huku mnakokwenda mtachafua uzi.
Ukifuatia wewe na ndugu zakowakifuatiwa na baba yako na mama yako na ndygu zako
Wakajikuta wanaumia kuliko waliofungwa...mlikuwa mnasubiri jana tufungwe ndio mshangilie kwa raha.
Jipime kiwango cha busara ulichonacho..!! Usikute majibu yake ni hatari kwa wanaokuzunguka
Muulize Mama yako aliyekuzaa na kukunyonyeshawanakuf*ra kwa shi ngap[emoji23][emoji23]
Chukua Calculator yako kisha fanya hesabu ifuatayo. Mo ana % 49 kwenye Club. Chukua mapato waliyopata kisha 49% ya mapato mpe Mo, Tupe jibu ni kiasi gan kinabaki bwana mkubwa
Hapo mumlipe Bigirimana wa Newcastle, mumlipe yule kocha aliyewaita manyani, sidhani hata kama mtabaki na jero.Sawa, ila hakuna kupata kudogo.
Mbna km unaumia?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmekusanya chakula ya Mo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaa na "NB" yakoooKati ya Yanga na simba, nani mkubwa?
NB: Mkubwa siku zote anapimwa kwa umri wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulishatinga robo final kibabeee tena CL, yu know??? Mbna unalazimisha furahaa mlongo na akat hunaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakajikuta wanaumia kuliko waliofungwa