Simba yaizidi Yanga kwa kukusanya fedha nyingi kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF

Chukua Calculator yako kisha fanya hesabu ifuatayo. Mo ana % 49 kwenye Club. Chukua mapato waliyopata kisha 49% ya mapato mpe Mo, Tupe jibu ni kiasi gan kinabaki bwana mkubwa

The same na we upige kwa upande wa gongowaz
 
Sawa, ila hakuna kupata kudogo.
Hapo mumlipe Bigirimana wa Newcastle, mumlipe yule kocha aliyewaita manyani, sidhani hata kama mtabaki na jero.

Pesa ambayo Simba anapata kwa kufika tu robo fainali ya CAFCL, Yanga hawawezi kuiona mpaka wafika fainali ya CAFCC.
 
Kati ya Yanga na simba, nani mkubwa?

NB: Mkubwa siku zote anapimwa kwa umri wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaa na "NB" yakooo
Kila ukiandika lazima uweke "NB" vipii maelezo yako huwa hayajitoshelezi?? Nakuonea huruma maskiniii wee.

Khaaaaaaah
 
Wakajikuta wanaumia kuliko waliofungwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulishatinga robo final kibabeee tena CL, yu know??? Mbna unalazimisha furahaa mlongo na akat hunaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…