Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa upigaji huo.
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Penalt eeeh
 
Nipo naangalia mpira wa Huesca na Barcelona hapa Yani hiki kikosi cha Barcelona Sijui ni cha 4??? wachezaji wote unaowajua hakuna.Jumanne nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom