Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

Kwa hiyo nikikwambia hapa leo kwamba ipo siku utakufa, hautaamini mpaka utakapo kufa?
Ushahidi wa Kufa upo ndugu,watu wanakufa kila siku,Kuna vitu already proven,ukirusha jiwe juu litarudi chini,huwezi kukataa hilo.Hata hivyo ukiniambia nitakufa siku flani nitakaa mpaka siku hiyo ifike nianze kufa nikaona nakufa kweli ndio nitakubali nimekufa
 
Sasa tunatofautiana ufahamu. Kwa mwenye kuufahamu vyema mpira wa miguu, Simba Koko kufungwa na TP Mazembe is a given fact.
 
Given fact? Basi Simba wasingepeleka timu.
Mpira usingekuwa na matokeo yasiyotarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unakiri kwamba mlienda kujaribu kufanya yasiyotarajiwa? Usiogope, hiyo ipo. Timu inakuwa imeshashuka daraja lakini kiutaratibu lazima imalizie mechi zake zilizobaki, na ndio kitu Simba walienda kufanya Lubumbashi. Muulize hata Manara atakwambia
 
Sasa tunatofautiana ufahamu. Kwa mwenye kuufahamu vyema mpira wa miguu, Simba Koko kufungwa na TP Mazembe is a given fact.

Hakunaga Fact ya jambo ambalo halijatokea na halipo already proven, Fact ni jambo lilithibitishwa au limekwisha kutokea...Utabiri sio Fact period.Kaangalie Dictionary...Definition of fact - a thing that is known or proved to be true.
Kukufafanulia ili uelewe...Katika Mechi 4 Ambazo Mazembe na Simba zimekutana,TP Mazembe Kashinda mechi 3 na mechi 1 wametoa Drop,...That is Fact.Kusema Simba akicheza kesho na Mazembe atafungwa kwa vile kafungwa na Mazembe mechi 3 kati ya NNE,na juzi tu katoka kupigwa 4-1 Huu ni Utabiri sio Fact.

Ukishindwa kuelewa hapa basi utanisamehe nitashindwa kukuelewesha zaidi
 
Nani alikwambia kwamba ulikuwa ni utabiri? Nani amesema kwamba huo unaodhani ni utabiri umebase kwenye matokeo ya mechi za nyuma?

Sikiliza bwana mfiwa, kutoka draw na TP Mazembe hakuondoi FACT kwamba wewe ni wa kufungwa tu. Hata facts zina alterations. Nitaenda na wewe pole pole ili uelewe.

Mtu akisema (kwa case ya ujauzito) mtoto atazaliwa wa kike...huo ni utabiri, ni utabiri kwa maana zipo namna mbili za jinsi, aidha KE au ME, kwa hiyo huo ni utabiri.

Mtu akisema (kwa case ya ujauzito) mtoto atazaliwa wa kike au wa kiume...huo sio utabiri, that is a FACT. Lazima awe me au ke...Fact. BUT, there are some times watoto huzaliwa na jinsia mbili...hiyo ndio case ya Simba kutoa draw na TP Mazembe
 
Back
Top Bottom