Hakunaga Fact ya jambo ambalo halijatokea na halipo already proven, Fact ni jambo lilithibitishwa au limekwisha kutokea...Utabiri sio Fact period.Kaangalie Dictionary...Definition of fact - a thing that is known or proved to be true.
Kukufafanulia ili uelewe...Katika Mechi 4 Ambazo Mazembe na Simba zimekutana,TP Mazembe Kashinda mechi 3 na mechi 1 wametoa Drop,...That is Fact.Kusema Simba akicheza kesho na Mazembe atafungwa kwa vile kafungwa na Mazembe mechi 3 kati ya NNE,na juzi tu katoka kupigwa 4-1 Huu ni Utabiri sio Fact.
Ukishindwa kuelewa hapa basi utanisamehe nitashindwa kukuelewesha zaidi