Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

Simba yajiandaa na upigaji penati Lubumbashi

hii mechi haitafika matuta, simba wajifunze jinsi ya kupunguza magoli.
Utabiri kama huu haujaanza leo. Ulitolewa wakati wa Mbabane, Nkana, Saoura, Al Ahly na Vita. Yaani ukiangalia timu zote hapo zilizotajwa zilicheza hatua ya makundi msimu uliopita, na mbili zilifika fainali ya mashindano mawili, lakini zimekaa kwa Simba
 
karia wa kuwabeba kwa mbeleko ya chuma hayupo ukoo, hivy saba mtungi zinawahusu simba
 
Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa upigaji huo.
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka game ikiisha 0 - 0 simba itakua ameaga. #I stand to be corrected.
 
Ndugu Zangu Wa Tanzania Nilimiambia Ya Kama Wa Chezaji Wa Simba Wataliya Tupo Wapi Apa Jameni Sisi Wa Kongomani Tupo Makali Sana
 
Back
Top Bottom