Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Utabiri kama huu haujaanza leo. Ulitolewa wakati wa Mbabane, Nkana, Saoura, Al Ahly na Vita. Yaani ukiangalia timu zote hapo zilizotajwa zilicheza hatua ya makundi msimu uliopita, na mbili zilifika fainali ya mashindano mawili, lakini zimekaa kwa Simbahii mechi haitafika matuta, simba wajifunze jinsi ya kupunguza magoli.