Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Leo Simba wamefanya mazoezi ya upigaji penati kwa kujiandaa na hatua hiyo Kama mchezo utaisha 0-0 kule Lugumbashi na TP Mazembe wachezaji okwi, kagere, Bocco, nyoni , mkude na chama walijifua kwa upigaji huo.
Mchezo wa Simba na TP Mazembe utachezwa jumamosi saa 10 kamili jioni na endapo mchezo huo utaisha kwa matokeo ya Bila kufungana mikwaju ya penati itaamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karia kawabeba Simba hadi robo fainali... Malinzi aliwabeba Yanga hadi wapi?karia wa kuwabeba kwa mbeleko ya chuma hayupo ukoo, hivy saba mtungi zinawahusu simba
Yanga hata kundi la GOR MAHIA lilimshinda Akapigwa nje ndani na kuvuta mkia.Kuamini mikia anaweza fika kwenye Penalty ni matumizi mabaya ya akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajafungwa goli 16 Kama mikiaYanga hata kundi la GOR MAHIA lilimshinda Akapigwa nje ndani na kuvuta mkia.
Simba hatua iliyofikia inastahili pongezi sio kuwabezaKuamini mikia anaweza fika kwenye Penalty ni matumizi mabaya ya akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichangie Swahiba au nishachelewa? π π πSwahiba unaoneja hii maana Kuna wanga wanachawia idadi kubwa ya magoli
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
We unasema goli.. hizo goli 5 za AS VITA zilimfikisha wapi?... Tumia akili.Hajafungwa goli 16 Kama mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia wamesahau ya kwao KAMWENEEOmba omba mmepata pakuhemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushachelewa kaa kimya wewe unafikaje kwenye sherehe wakati mgeni rasmi anaondokaNichangie Swahiba au nishachelewa? [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaaaa. Nimecheka lol. Hata sikai kimya. πππUshachelewa kaa kimya wewe unafikaje kwenye sherehe wakati mgeni rasmi anaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa Yanga mnashida Sana kesho nafunga vioo hata nikiitwa siitikiHahaaaa. Nimecheka lol. Hata sikai kimya. [emoji126][emoji126][emoji126]
Yaani kesho makazini huko kutakuwa kimyaaaaaa. [emoji3][emoji3]
Hahaaa. Na hiyo ndio dawa tu hamna kingine.Watu wa Yanga mnashida Sana kesho nafunga vioo hata nikiitwa siitiki
Sent using Jamii Forums mobile app