JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya Ethiopia, kwenye Uwanja wa Mkapa, Jumatatu Agosti 8, 2022.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema Simba walituma maombi hayo lakini bado hajajua majibu kutoka kwa kiongozi huyo wa soka la Afrika.
“Yanga wao watakuwa na kocha mkubwa Pitso Mosimane, Simba bado wanasubiri majibu ya Motsepe,” - Karia.