Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Au ndio wachezaji wa mnadani 😅😅🤭🤭
 
Hapa ronaldo ilibidi aombe picha na mwambaView attachment 2863688
6c42c35a49ca43c09767dd661b8ca268.jpg
 
Huyu mwamba nasikia anakata umeme na maji pia.... Dimba la Kati analivuruga kila mechi akicheza lazima nyasi wanazi repair full vipara
 
Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
 
Official and confirmed:

Babacar Sarr is a new midfielder for Simba SC. [emoji599]

#Transfers
#AfricanFootball
#NguvuMoja [emoji881]
Source:MickyjnrView attachment 2863674
Akuna timu ya mwarabu inayoweza kumuacha mchezaji ambae ni Bora, uyu bwana amesajiliwa akiwa free agent baada ya u.s monasteries kumtema mwezi wa 11, kwa maana iyo matarajio yasiwe makubwa sana na akiba ya maneno!
 
Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Umekula?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mchezaji kila msimu na timu mpya
Mkataba wa miaka miwili na nusu

Babacar Sarr, one more midfielder signing for Simba. [emoji599][emoji1241]

What I can say about him:

• He’s a DM who’s good in the challenges and build up play.

• He is good with long ball over both sides.

• He is also good with passing skills over short distance.

• Accuracy and power: good.

Sarr, Ngoma and Kanoute. That will be tough to break down. [emoji91]

Okra Masele Visungura amekaa miezi saba tu kashakuja uto
 
Back
Top Bottom