Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club


Majibu mengine hawezi kuyapata Twitter na hilo analijua lakini alifanya kwa Makusudi.
Angelienda Ofisini kutafuta Vigezo na sio Twitter.

Na Jambo la kustaajabisha ni Kuwa wengi wetu Mashabiki wa Simba tulimpinga lakini anaungwa Mkono na Washabiki wa Yanga.
 
Wengi mmempinga HK sababu mnaogopa MO akikomaliwa na wengi atajiuzulu na hela bado hajatoa hivyo MNAMDEKEZA. Kingine MO anatumia twitter zaidi kuliko ofisin na matamko yake mengi anayabandika twitter mfano kujiuzulu kisa kipigo.

Anashabikiwa na yanga sababu wanaona ukweli halisi pia wanafurahia mnavyotibuana kwanza awepo MO au asiwepo wao hawaongezewei wala hawapungukiwi na kitu. Ni sawa na nyie mnayo mengi ya mdhamini wa yanga mnataman HK mmoja aibukie yanga mpate burudani.
 

Paragraph yako ya mwisho imemaliza mjadala
 
Waswahili husema ukiona vyaelea ujue vimeundwa ...

Wakati baadhi wana hoji B20 ni vyema pia wahoji mishahara ya wachezaji , gharama za kuendesha club, udhamimi toka kwa sponsor ni shilling ngapi , senzo alikuwa analipwa bei gani , nani alimleta senzo , majukumu ya ceo ni yapi, ..kuna vitu vongi vya kuhoji ndani ya club kwa izo 20B, una kuwa na foreign player 10 + 3 technical trainers and how do they paid

Then Hamis aulizwena yy ana kadi ya uanachama ?
 
Sasa naanza kuona matunda ua Barbara pale simba sports
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Haahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mtu mbaya 🤣🤣🤣
 
aya yako ya mwisho, yametimia[emoji23]
 
aya yako ya mwisho, yametimia[emoji23]
Hakika mkuu...

Mimi ni shabiki wa Yanga ila ninapenda maendeleo ya soka letu la bongo....

Kaka Haji Manara ana kipaji cha uhamasishaji na kubrand timu yake....ana ushawishi mkuu....ana ufuasi mkubwa....na ana nyota kali....

Mapungufu yake ni hulka yake ya kupenda mapambano KUPITILIZA(TUG OF WAR)....

Hulka yake hii ninaamini ni STEP BACK kubwa ya nguvu alizonazo....

Haji angeweza kuyacontrol mapungufu yake ,hwenda angekuwa MWANASIASA MZURI SANA....ila kwa hulka yake hiyo ,kunakosekana KUMUAMINI KULIKO KUKUBWA......

Haji abadilike sasa ,japo najua ana EGO kubwa ya kujiona Yuko juu ya Kila mtu.....hili ni suala la KISAIKOLOJIA ,huwenda amekua akiwa na POST TRAUMATIC STRESS DISORDER(PTSD)....

Binafsi ninamuombea KUBADILIKA kwema....INAWEZEKANA...INAWEZEKANA!!!

#KaziIendelee
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Mkuu wangu....

Mkuu wangu.....

Pamoja na uanachama wangu wa Yanga ,ila ninapenda sana maendeleo ya SOKA LA BONGO....

Kwa kuijua hulka ya kaka Haji Manara ,niliandika hayo baada ya dada Barbara Gonzalez kujiunga NANYI....leo yametimia!!!

Akitaka Kaka Haji anaweza "kupambana na mapungufu" yake ya kupenda "tug of war"....

Inawezekana KUBADILIKA....

Kwa hayo Ninamuombea Kila la heri huyu mwanachama mwenzangu wa CCM ,aamin!

#KaziIendelee
#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…