Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.