Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Yanga tuacheni na Simba yetu.
Huku Mo anacheza singeli.
Huku Babra anatweet mipasho.
Hapo bado Haji hajaiita press conference kuchamba.

Mwaka huu tupo juu balaa [emoji1787]

Simba oyee
Best, maaambo?
 
Sawa Mkuu ingawa ni vizuri timu ikaendeshwa kitaasisi kuliko kifamilia na kindugu. Maana likitokea la kutokea mtakuwa hamna mahala pa kushika.
simba imeanzishwa mwaka gani mkuu??kwanini miaka yote iyo imeshindwa kuendeshwa ki taasisi unayoisema wewe??acheni siasa kwenya maswala ya msingi....miaka yote iyo timu ilikuwa katika hali mbaya hawa vimdomovimdomo walikuwa wamejificha...katokea mtu ameanza kufanya vitu vinaonekana vimdomodomo ndo wamejitokeza ghafla wakijifanya ndo washauri wazuri namna ya kuendesha timu...kwanini hawakujitokeza kipindi kile timu ina njaa kali??
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Arsenal iko uingereza naumia vipi? Simba ipo hapa na sisi ni wanachama kindakindaki tunaumia sana tukiona mambo kama haya yakifanyika kwenye klabu kubwa kama hii.
mkuu unaumia na maswala ya simba...huumii timu lako la utopolo kukosa ubingwa mara ya tatu hii mfululizo??...na mwaka huu,tunachukua tena
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yaani Mo Dewji anachukua sekretari wake binafsi pale ofisini kwake halafu anamtengenezea CV ya kubumba kisha anamfanya CEO wa klabu ya Simba. Halafu wanasimba tukae kimya!
Safari hii tutagawana yale maghala yake ya nafaka.
 
Keyboard warrior.Hongera.
 
Aliyechangia sahani anatishia kujitoa huko. Fanyeni bidii mumbembeleze amlete hata fatma hakuna shida na flavian matata msimsahau
Kwani hiyo kampuni inasimamiwa na nani?, wewe ushachangia hata sahani ya chakula kwa siku kwa mchezaji wa Simba...
Pambana na hali yako kwanza utashikwa na vidonda vya tumbo.
 
Aliyechangia sahani anatishia kujitoa huko. Fanyeni bidii mumbembeleze amlete hata fatma hakuna shida na flavian matata msimsahau
Sasa kutoka kwake unaumia vp, simba ni zaid ya utopolo njaa imewalevya
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbona unataka kulia ndo kwanza HK kawakalia kooni
118780345_662063684405026_4723369165100277551_n.jpg

Sasa kutoka kwake unaumia vp, simba ni zaid ya utopolo njaa imewalevya
 
Roadmap said:
Mimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.

Wewe umeipa mafanikio gani

Acha kuwashwa ulitaka akutangaze wewe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kamkalia nani kooni?
Anajianika tu na ujinga wake.Waziri unashindwaje kupata security guarantee ya kukopa pikipiki 25?
Hiyo personal vendetta inaonyesha upeo wake wa kufikiri.
Amejibiwa mara 1 ameandika tweets 40. Reasoning yake eti alishindwa kumkopesha.Uwezo wa kuzimiliki hizo pikipiki aliupata wapi?
Bora anyamaze anazidi kuanika his dirty laundry.
 
Aliyeanza leta mambo binafsi ni MO wacha ajibiwe anavyotaka. Kwani mkuu wewe hautaki mo atoe hizo bil 20?
Sasa mbona unaleta tweet zinazoprove kuwa kumbe Kigwangwala ana mambo personal na MO yaliyosababishwa na kunyimwa Mkopo?
Yani hizo 20B ni kisingizio tu.
 
Aliyeanza leta mambo binafsi ni MO wacha ajibiwe anavyotaka. Kwani mkuu wewe hautaki mo atoe hizo bil 20?

You didn't get my point.
Wengi wamerukia katikati tu mjadala wa Kigwa na MO lakini hawajui ulianzaje.

1) From the beginning Kigwa alianza kwa kuuliza uwezo Barbra na kutaka apewe CV yake.
Mimi nikareply kwa kumwambia CV ni confidential mfate Ofisini akupe CV yake. Lakini wengine wakatiririka na kummwagia CV yake.

2) Kigwa alipoona kashushiwa CV basi akageuka ghafla kudai 20B na kuhamisha mjadala kutoka CV mpaka kwenye 20B.

3) Akaanza kumshambulia MO kwa zaidi ya Tweets 30 huku MO akiwa hajajibu lolote. Mpaka Kigwa aliposema kuwa Mashabiki watampiga Mawe MO! Ndiyo hapo MO akashtuka kuwa Kigwa si kwamba anaitetea Simba bali anaishu zake Binafsi na yeye! MO akamjibu kwa post 1 tu lakini Kigwa mpaka sasa ameshaandika tweets zaidi ya 100. Then unasema MO ndiye aliyeingiza mambo binafsi?

Kigwa ni Kiongozi wa Umma anazijua taratibu za Kiofisi! Kwanini alidai mambo ya Kiofisi aekewe Twitter? Si alijua kuwa haitowezekana ndiyomana akakomalia ili ionekane hoja zake zimeshinda kujibiwa!

Tokea Tweet ya kwanza ya Kigwa imekalia Kichuki tu kisa MO hakumpa Mkopo wa Bodaboda kwa ajili ya Kampeni.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
King Ngwaba
Tatizo sio wanasimba wanaojielewa.Tatizo ni wachumia tumbo ambayo mifereji yao imezibwa ,wafuata mkumbo, aliyenyimwa mkopo akaligeuza tatizo ni uwekezaji na mwisho Utopolo ambao wanajua wazi ikiwepo hali ya utulivu hawana ubavu wa kushindana.
 
Kigwa nia yake ilikua ajibiwe na MO na sio nyie wengine msio hata na tick ya blue.(hii ni kasumba ya watu maarufu hasa wenye bluetick,wamejiweka daraja la juu)

Kingine mkuu kigwa kahoji mchakato wa kumpata barbara kama CEO je ulizingatia vigezo mlivyojiwekea?
You didn't get my point.
Wengi wamerukia katikati tu mjadala wa Kigwa na MO lakini hawajui ulianzaje.

1) From the beginning Kigwa alianza kwa kuuliza uwezo Barbra na kutaka apewe CV yake.
Mimi nikareply kwa kumwambia CV ni confidential mfate Ofisini akupe CV yake. Lakini wengine wakatiririka na kummwagia CV yake.

2) Kigwa alipoona kashushiwa CV basi akageuka ghafla kudai 20B na kuhamisha mjadala kutoka CV mpaka kwenye 20B.

3) Akaanza kumshambulia MO kwa zaidi ya Tweets 30 huku MO akiwa hajajibu lolote. Mpaka Kigwa aliposema kuwa Mashabiki watampiga Mawe MO! Ndiyo hapo MO akashtuka kuwa Kigwa si kwamba anaitetea Simba bali anaishu zake Binafsi na yeye! MO akamjibu kwa post 1 tu lakini Kigwa mpaka sasa ameshaandika tweets zaidi ya 100. Then unasema MO ndiye aliyeingiza mambo binafsi?

Kigwa ni Kiongozi wa Umma anazijua taratibu za Kiofisi! Kwanini alidai mambo ya Kiofisi aekewe Twitter? Si alijua kuwa haitowezekana ndiyomana akakomalia ili ionekane hoja zake zimeshinda kujibiwa!

Tokea Tweet ya kwanza ya Kigwa imekalia Kichuki tu kisa MO hakumpa Mkopo wa Bodaboda kwa ajili ya Kampeni.
 
Swali hilo aliuliza kama vigezo vilizingatiwa alipoajiriwa Senzo??
Kwani iwe special kwa CEO mpya?
Pikipiki zimeleta balaa.Jamaa mkopaji kashitiwa amekuwa mkali.Povu la tweets 40.
Imemuuma kunyimwa mkopo tena nyeti halafu kuwa ignored.
 
Back
Top Bottom