Hatujamalidhaaa😅Wanathiiiiiimba
Nimeona maandamano ya wanasimba usiku huu kudai bibie avunje ndoaTeuzi za kupanic hizi soon tutaskia kelele za barbra out hatutomvumilia
Hawa ndio walikuwa wanasema kuwa wataweza mlipa mosimane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Simba inachukua kocha ndondoView attachment 2349413
Nakubaliana nawe...wacha kwanza muangalie je mtafika hatua ya makundiNyakati tunayo ipitia wanasimba wakati huu hii ni option bora kabsa
Na bila kujisahaulisha kumbuka game ya kabla ya kmc mlipigwa kama ngomaHaya matokeo ya kmc jumlisha big bullet kuna watu wataishia njiani km tutapoteza
Mm nimefurahi kwa kumpa Kaz mzawa mwezetu pitso aliaminiwa hiv HV Mara paap Yuko juu Zaid Safi Simba ila tusilaumiane na kumtukana kocha wa watu has mashabiki mkianza kuzamishwa tano
Uliongea na nani pale Simba Sc anaehusika na swala la kuleta Kocha akawambia hivyo?[emoji23]Hawa ndio walikuwa wanasema kuwa wataweza mlipa mosimane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie niliona tetesi tuu huku kwa mitandao bwanaUliongea na nani pale Simba Sc anaehusika na swala la kuleta Kocha akawambia hivyo?[emoji23]
Ahahaha,subiri wakadundwe na huko Malawi tuone watarudi na kocha yupiNi vichekesho yaani timu inaenda pre season na zolan , ligi kuu anapewa timu matola na CAF anaenda mgunda[emoji38]
Tatizo simba na yanga wako kama wanawake walioolewa na mume mmoja hawakomi kushindana vitu kidogo.
Viraka viraka[emoji23][emoji23]Ni vichekesho yaani timu inaenda pre season na zolan , ligi kuu anapewa timu matola na CAF anaenda mgunda[emoji38]