Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

Sijui ni Mimi Tu lakini mawazo yangu yananituma kukubaliana na wazo hili. Huwezi kwenda kwenye Mechi Malawi naked. Lakini pia hili lichukuliwe kama funzo Kwa Simba. Tatizo hili lingetokea Yanga isingekuwa shida maana makocha wote 2 Wana Leseni kubwa. Nashindwa kujua Kwa nini Matola hataki kutimiza vigezo rahisi vya kupata Leseni A wakati inaonekana Simba inampenda Sana. Watu wamekuamini na kukupa ajira ya bure bila elimu husika unashindwaje kujiendeleza hata Kwa elimu masafa kupata sifa sitahiki? Kwa hili Matola umepuyanga.
 
So kile kipindi Cha mpito kikipita anarudi alikotoka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijui ni Mimi Tu lakini mawazo yangu yananituma kukubaliana na wazo hili. Huwezi kwenda kwenye Mechi Malawi naked. Lakini pia hili lichukuliwe kama funzo Kwa Simba. Tatizo hili lingetokea Yanga isingekuwa shida maana makocha wote 2 Wana Leseni kubwa. Nashindwa kujua Kwa nini Matola hataki kutimiza vigezo rahisi vya kupata Leseni A wakati inaonekana Simba inampenda Sana. Watu wamekuamini na kukupa ajira ya bure bila elimu husika unashindwaje kujiendeleza hata Kwa elimu masafa kupata sifa sitahiki? Kwa hili Matola umepuyanga.

Simba ilikua na kocha msaidizi mwenye vigezo vinavyomruhusu kusimamia mechi za CAF ila kaondoka na bwana Mzungu kwenda zake Egypt
 
Sijui ni Mimi Tu lakini mawazo yangu yananituma kukubaliana na wazo hili. Huwezi kwenda kwenye Mechi Malawi naked. Lakini pia hili lichukuliwe kama funzo Kwa Simba. Tatizo hili lingetokea Yanga isingekuwa shida maana makocha wote 2 Wana Leseni kubwa. Nashindwa kujua Kwa nini Matola hataki kutimiza vigezo rahisi vya kupata Leseni A wakati inaonekana Simba inampenda Sana. Watu wamekuamini na kukupa ajira ya bure bila elimu husika unashindwaje kujiendeleza hata Kwa elimu masafa kupata sifa sitahiki? Kwa hili Matola umepuyanga.
Ajiendeleze halafu awe kocha mkuu afungwe afukuzwe?
 
Angeweza kuhudhuria (Matola) hata Tutorial za Profesa Nabi (Just Joking!)
 
Halafu mkikutana na Coastal Union kocha anarudi kuwa Mgunda, duu Simba mmetisha.
 
Back
Top Bottom