joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa hiyo wakimataifa wanawaiga wa hapa hapa, nyie si mnasemaga wenzenu Alhly, Mazembe,Casablanca nk,sasa leo mnawaiga Uto, kweli mpo vizuri.Kama uto na mkwasa
Au ndio Simba akikosa nyama hula mpaka majani.