joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa hiyo wakimataifa wanawaiga wa hapa hapa, nyie si mnasemaga wenzenu Alhly, Mazembe,Casablanca nk,sasa leo mnawaiga Uto, kweli mpo vizuri.Kama uto na mkwasa
Mletee Mgundaaa mlete MgundaaaWanathiiiiiimba
Hivi leseni A unadhani ni rahisi kuipata wewe? Kusoma kugumu jameniSijui ni Mimi Tu lakini mawazo yangu yananituma kukubaliana na wazo hili. Huwezi kwenda kwenye Mechi Malawi naked. Lakini pia hili lichukuliwe kama funzo Kwa Simba. Tatizo hili lingetokea Yanga isingekuwa shida maana makocha wote 2 Wana Leseni kubwa. Nashindwa kujua Kwa nini Matola hataki kutimiza vigezo rahisi vya kupata Leseni A wakati inaonekana Simba inampenda Sana. Watu wamekuamini na kukupa ajira ya bure bila elimu husika unashindwaje kujiendeleza hata Kwa elimu masafa kupata sifa sitahiki? Kwa hili Matola umepuyanga.
Hahaha sasa wee umeletab bonge la mtu.Mletee Mgundaaa mlete Mgundaaa
Hatari sana hiii ngoja tuenedelee kuwepo tuone mwisho wa huu mtanange.Hahaha sasa wee umeletab bonge la mtu.
Bado husadiki tuWeka official statement
Wee umeandika nn Sasa kwani uto wamemuazima mkwasa?Kama uto na mkwasa
Wala usiwe na wasiwasi, huyo ni pep guadiola mnene. Zitapigwa pass kama za maplay stationπ€£π€£π€£π€£π€£Hatari sana hiii ngoja tuenedelee kuwepo tuone mwisho wa huu mtanange.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Hata wewe ukikaa vizuri simba anakutafuna vile vileKwa hiyo wakimataifa wanawaiga wa hapa hapa, nyie si mnasemaga wenzenu Alhly, Mazembe,Casablanca nk,sasa leo mnawaiga Uto, kweli mpo vizuri.
Au ndio Simba akikosa nyama hula mpaka majani.
Hata wewe ukikaa vizuri simba anakutafuna vile vile
Kama wewe ulivyotafuna ππAsifiaye mvua imemnyeshea,kwa hiyo wewe ushwahi kutafunwa na Simba.
Kwani wewe ushatafunwa mara ngapi tokea mwaka jana? Ngao Umetafunwa mwaka jana,Azam Confederation Umetafunwa na Juzi ukatafunwa Mayele akipiga bao mbili, yaani ni sawa na kusema wewe ni MLUPO.Kama wewe ulivyotafuna ππ
Kweli kabisa lakini haiwezekani kila ukiombwa gemu na mumeo simba unapigwa bao 6 (hapa ulipigwa 3 na kuvunjwa bikra na abdala kibadeni) ,5,4 halafu bado unalia hujakojozwa miss utopoloKwani wewe ushatafunwa mara ngapi tokea mwaka jana? Ngao Umetafunwa mwaka jana,Azam Confederation Umetafunwa na Juzi ukatafunwa Mayele akipiga bao mbili, yaani ni sawa na kusema wewe ni MLUPO.
Ushazoea kutafunwa n kwenye ligi unatafunwa tena.
Tatizo sio bao wengine kaa nguruwe bao moja watoto 12.Kweli kabisa lakini haiwezekani kila ukiombwa gemu na mumeo simba unapigwa bao 6,5,4 halafu bado unalia hujakojozwa miss utopolo
Ewe binti bao ni bao tuTatizo sio bao wengine kaa nguruwe bao moja watoto 12.