Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

Ewe binti bao ni bao tu
Umesahau abdala kibadeni kati ya zile bao sita 3 alipiga mwenyewe bila kupumzika akakutoa kibeleko
Kwani wewe ushatafunwa mara ngapi?
 
Hakuna option, tuna siku mbili tu, tunahitaji kocha ambaye walau amefatilia timu na kujua wachezaji ili kusaidia kuvuka nyakati hizi ngumu.
Zimamoto hii
 
Nadhani una mawazo mfu. Team ya Chelsea imefukuza kocha, nayo imefulia au wewe ni wale mashabiki fuata mkumbo au team Uto. Suala la kuwa na mwalimu katika muda wa mpito( transition period) mbona ni kawaida!
Umesikia kinachoendelea Malawi..,!
Ndo utajua hujui kuwa Mashabiki wa Simba na Viongozi wao, akili zao zipo Sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…