mullo gabriel
Member
- Aug 3, 2021
- 70
- 76
sawa na lisimba lenu linabomoka taratibuKwani simba iliwaona wapi hadi wakashawishika kuwasajili?.Kama ambavyo simba iliona kiwango chao wakasajiliwa ndivyo ambavyo na timu nyingine inaweza kuwaona pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa na lisimba lenu linabomoka taratibuKwani simba iliwaona wapi hadi wakashawishika kuwasajili?.Kama ambavyo simba iliona kiwango chao wakasajiliwa ndivyo ambavyo na timu nyingine inaweza kuwaona pia.
Yalikuwa ni maoni kama yalivyo maoni yako. Jifunze kukubali maoni ya wengine itakusaidia. Sio lazima wakati wote maoni/mawazo yafanane.Wivu wa nini sasa, rohombaya. Kwake ajira.