Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

Binafsi nitammisi sana Luis kuliko Chama.

Fighting spirit ya Luis ilikuwa ya aina ya kipekee si mazoezini si kwenye mechi yeye alikuwa anacheza kwa kujituma.

Chama ilikuwa ni mpaka aamue kucheza ndio anakuwa wamoto, muda mwingi hakabi na anacheza taratibu.

Wachezaji wetu wajifunze kitu toka kwa Konde Boy itawasaidia kupata mafanikio.
 
Hakuna namna mwenye akili timamu anaweza kuukataa huo mshahara na dau la kumsajili lililotua Simba SC, Chama aliitendea Simba SC haki kwa mpira wake hasa yale magoli yake dhidi ya Nkana FC tukatinga makundi, na lile jingine alifunga tukatinga QF dhidi ya AS Vita. All the best kwake.
 
Hakuna namna mwenye akili timamu anaweza kuukataa huo mshahara na dau la kumsajili lililotua Simba SC, Chama aliitendea Simba SC haki kwa mpira wake hasa yale magoli yake dhidi ya AS Vita Club tukatinga makundi CAF, na lile jingine alifunga tukatinga QF nimesahau ilikuwa dhidi ya timu gani.All the best kwake.
Nkana red devils.......
 
Rekodi ya ada kubwa ya usajili Bongo inashikiliwa na nani na ni kiasi gani?
 
Watanzania na hasa mashabiki wa mpira watambue kwamba mabadiliko ya kiungozi ndani ya vilabu yanaenda sambamba na mabadiliko ya kibiashara....

Simba ipo na yanga itakuepo bila kujali nani anakuja na nani anaondoka as long as mchezaji amelipa deni na anauzwa kwa faida muachieni aende..... Sio Chama wala Konde wangefia simba hasa kwa viwango vyao...

Swali ni je hii mikataba mipya inawanufaisha vip simba??

Mfano.

Mchezaji akisaidia timu yake mpya kutwa ubingwa say wa CAF CHAMPIONISHIP simba itanufaika vipi???

Mchezaji akiuzwa na hiyo timu mpya simba itafaidika vip na mauzo hayo hapo baadae??

Kama atakua mfungaji bora wa ligi husika au kufikisha magoli kadhaa kwa msimu simba atanufaika vip??
 
well said wabongo bado tunaishabiki wa kijima... kinachosikitisha hawa waandishi wetu ambao hawajui kuwa kwa nafas zao ndo walipaswa kuwa walimu wa kuwaelewesha watu nini maana ya kuwa professional player AU professional league au professional club..

yaan haya yanayotokea sasa hv ni matokeo ya mafanikio ya club zetu .. sasa mnataka kwenda kwenye level za wenzetu hamtak kuuza ..
cha ajabu wachezaj wanzur wa gharama nje pia mnasema Bongo hatuna jeur ya kununua mchezaj wa 1B.. sasa hamna jeur ya kununua ila bado mna jeur hamtak hiyo 1B akili za wapz.. kwa hiyonhawa wachezaj watafaidishaje club au wao na familia zao..

hv wanafikiri club kuwa kubwa kifedha hizo pesa zinatoka mbinguni.. au zinakuja kwa kubeba ubingwa tu..

bingwa wa CAF anapata less than 4b.. sasa jiykize Aly Ahal katumia shilingi ngap kwenye msimu wa mashindano..

zaid ya asilimia hamsini ya mafanikio ya club kifedha yako nje ya uwanja.. pale uwanjan ni kujitangaza..

maana yake club ikifanya vizur uwanjan.. basi zitakuja deal za udhamin na zitakuja deal na kutaka asset zako..

lakin wabongo bado akiuzwa mchezaj oh hamko seriuos.. club zingekuwa haziko serious hata hao wachezaj mnaowapigia kelele msingewaona..

hivi kuna anaejua Simba au yanga wanaingia gharama kias gan kuhakikisha hao wachezaj wanakuwa na hali nzur ili waperfom..

faida ya mchezaj mzur kwa club iko 50% ndan ya uwanja na 50% nje ya uwanja ..

maana yake akiperfom uwanjan na bado mkashindwa kupata kombe basi mnaweza mkamuuza kwa pesa nzuri,
mkaboresha mara mbili ya pale..

na bado hapo kila siku inayoenda kwa Mungu haikupi guarantee ya huyo mchezaji kesho ataamkaje au atapata majanga gani..

angalia yule mchezaj wa polisi alieumia miguu kwenye Ajali.. maisha yake ya soka yatakuwaje.. halafu bado mnataka kubania wachezaj wakipata nafasi za kubiresha maisha..

mchezaj mtaj wake ni mwili wake na bahat mbaya hana uwezo. wa kuthibitisha kuwa atakuwa 100% fit hata kwa masaa 24 tu yajayo.

WABONGO TUBADILIKE NA USHABIKI MAANDAZ
 
Process ya mauzo ilianza kabla
Wabongo tuna shida sana mkuu.
Yaani inshu ya insta juzi tu hapa,leo mtu anakwambia insta imemponza.
Wamoroko kumtaka Chama,kutuma ofa yao,Simba wakubali,Chama akubaliane maslahi binafsi na timu yake mpya.
Yaani haya yote ndani siku hizi mbili baada ya mambo ya insta?.
Mwishoni watasema Mo kawalazimisha wamoroko waje wamchukue Chama!.
 
Hata kama ni pesa lakini, this is lack of seriousness .. Yani chama na miquissone wote tunawakosa at once ..
Timu kubwa ambayo ina ambition ya ubingwa hua haiuzi key players waliopo kwa mara moja.

Timu inayofanya hivyo ni timu inayojiendesha kibiashara hivyo itakua tayari kumuuza yeyote kikubwa mkubaliane.

Timu ya hivi inatarget kufikia labda mtoano tu kwenye mashindano ili kusaidia kutangaza wachezaji kwa timu zingine ambazo zipo serious na ubingwa.
 
Unaweza ukabaki na hao ma staa wako na ubingwa usiuguse vilivile.
 
Unaweza ukabaki na hao ma staa wako na ubingwa usiuguse vilivile.
Yea hili pia linawezekana na linatokea.

Lakini kipi bora? Uingie kwenye ligi na UCL bila Lukaku, Hakimi na Martinez au uingie nao ili uongeze chansi ya ushindi?
 
Unalipwa mshahara mara nne zaidi ya uliokua unalipwa awali.

Unagewa mkataba wa miaka mitatu huku una miaka 30.

Halafu unahisi ni hasara kwake?
12x3=36
36x40M=1.44b
Yaan kwa miaka mitatu atavuna 1.44b atakama ni zwazwa swezi acha hii offer
 
Hivi umesoma na kuelewa hapo au umesoma tu ili ucomment yaani kwenda sehemu ya kulipwa mshahara mara 4 ya mwanzo ni kuponzwa
Mkuu hili ni jukwaa huru kila mtu ana maoni yke hata kama mpango wa kuuzwa ulikuwepo na hela iliyotoka ni nyingi lakini sio ghafla kiasi hiki taarifa zilizokuwepo ni konde boy inaonesha hata kilikuwa kinachoendelea kati ya MO na chama hukijui
 
Back
Top Bottom