Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

Ni zaidi ya wanavyomchukulia kwakweli.
Namkubali saaana Perf
 
Binafsi nitammisi sana Luis kuliko Chama.

Fighting spirit ya Luis ilikuwa ya aina ya kipekee si mazoezini si kwenye mechi yeye alikuwa anacheza kwa kujituma.

Chama ilikuwa ni mpaka aamue kucheza ndio anakuwa wamoto, muda mwingi hakabi na anacheza taratibu.

Wachezaji wetu wajifunze kitu toka kwa Konde Boy itawasaidia kupata mafanikio.
20210813_190713139846.jpg

hapa akikosa goli dhidi ya Yanga
 
Morrison na bwaria wataziba kwa usahihi pengo la chama na miquisson....Sina Shaka kabisa
 
Mkuu hili ni jukwaa huru kila mtu ana maoni yke hata kama mpango wa kuuzwa ulikuwepo na hela iliyotoka ni nyingi lakini sio ghafla kiasi hiki taarifa zilizokuwepo ni konde boy inaonesha hata kilikuwa kinachoendelea kati ya MO na chama hukijui
Hata kama kilichokuwa kinaendelea kati ya chama na Mo ndio kimepelekea yeye kuuzws kwenye klabu atakayolipwa mara nne zaidi ya simba katika mazingira kama hayo hatusemi kuponzwa huko ni kumpaisha au kumbeba mchezaji kuponzwa ni kama simba wangemuuza Namungo na mshahara pengine nusu au robo tu ya anaolipwa simba
 
Nakutakia mafanikio mema chama. Huu ndio ukomavu wa simba miaka yote mchezaji akipata maslahi mazuri pengine Simba huwa inambariki akatafute maisha bora zaidi na mambo yakiwa magumu milango ya msimbazi ipo wazi. Ilikuwa ni unyama kumkatalia chama asiondoke ukizingatia kwa umri wake hii ni contract yake nono ya mwisho
 
Kama ni kweli, Simba isahau ubingwa hata wa kombe la ndani. Huko CAF champion League ndio kabisa, makundi tu nje.
Wataondoka na magoli yao na assists zao. Replacement ya Chama itawagharimu pesa hiyo hiyo iliyomuuzia. Kiwango cha uchezaji kitashuka kwani mpishi wa biriani kauzwa.
It's a trade off. You can't have both ways. You went for the money, you get poor team performance. In other words, end of the dream.
Subirini tu mwakani wakionyesha viwango vizuri huko na hatimae kuuzwa kwenye timu za Uturuki kwa shs bilioni 14 ndio mtajua mliingizwa mjini na kubakia midomo wazi.
Hivi unamkataliaje mchezaji kutoka ukanda wa SADC (ukitoa Afrika Kusini) ambae yuko 30 yrs old deal ambalo litampatia mshahara wa sio chini ya Tshs 50 million kwa mwezi? Hata ukimkatalia, unadhani mchezaji huyo atabaki akiwa na morali ile ile ya kuipambania timu? Simba wangekataa hiyo deal, Chama angebaki Simba mwili tu, ila akili na moyo wake vingekua Morocco, na ungeshangaa msimu huu angekua kama Sarpong tu.
 
promo ilioko simba na yanga ndo inawapaisha wajulikane ila wakitoka nje ni empty kama empty wengine, tungoje tuone itavokuwa.
 
Nimeamin Yanga hawapendi show off.Wamemuuza Tuisila af kimya tu..
Ukifanya majumuisho ya hela ya mauzo na kugharamia kambi hoteli ya kifahari kwa siku 11 pamoja na safari ya kwenda kambi na kurudi Tanzania.Utagundua Kisinda kauzwa kwa Mpunga mrefu kuliko Chama.
Mtakumbuka hivi karibuni Club ya Simba baada ya kusikia tetesi anakwenda Yanga walikaa nae mezani wakamuongezea mkataba,mshahara mnono na kumpa pesa Ndefu mashabiki na wa Simba walikuwa wanasema kapewa Mil 700. Sasa kama ilikuwa kweli , haijapita muda mrefu umemuuza kwa Tsh Bilioni moja .Kwa hesabu za kawaida faida iliyopatikana ni kama Tsh Mil 300 hivi . Kwa mazingira hayo huwezi kumfananisha na Kisinda ambaye mkataba wake kwa Yanga ulikuwa wa kawaida.
 
😂 😂 😂 😂

Mshahara ake unakusaidia nini wewe kama shabiki?
 
Duu! Ni kweli ni haki ya mchezaji kujiunga na club yoyote anayoona itampa ustawi wa soka lake na uchumi wake kwa ujumla, Lakini Je Simba kumuachia Chama tumejiandaa kweli kuziba pengo lake?
Ikumbukwe msimu wa 2018/2019 AS VITA walikuwa na kikosi bora sana kilichoweza kuwatungua Simba 5 - 0, Lakini tangu walipouza wachezaji bila mpangilio, kikosi chao kimeyumba mno hata kufikia mahala wanakubali kipigo uwanja wao wa nyumbani.
Simba tunapaswa kujifunza kitu hapa hasa ukizingatia mwakani tumepania kufika next level ligi ya Mabingwa!
Anyway Kila lakheri kwa "Triple C"!
Huo mfano wa Vita hauna uhusiano kwasababu tatizo lao ni kushindwa kusajili viwango angalau sawa na walioondoka.na mpira uko hivyo wakati mwingine.hauwezi kukupa matarajio unayohitaji wakati wote.
 
Insta live imemponza chama
Chama ndo anaenda hivyo wewe bado unawaza insta.Mpira wa bongo hapa ni njia tu kwa wachezaji wa nje wenye malengo makubwa.Wenzako wanafikiria maisha zaidi sio mbwembwe zakwenye mitandao.
 
promo ilioko simba na yanga ndo inawapaisha wajulikane ila wakitoka nje ni empty kama empty wengine, tungoje tuone itavokuwa.
Kwani simba iliwaona wapi hadi wakashawishika kuwasajili?.Kama ambavyo simba iliona kiwango chao wakasajiliwa ndivyo ambavyo na timu nyingine inaweza kuwaona pia.
 
Back
Top Bottom