kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
KAMA Messi kasepa sembuse chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta wote wazuri hadi anasugua benchiHatakuwa na mafanikio kama alivyokuwa Simba
Maajabu yapi hayo unayozungumzia??.Kila la heri kwake huko aendako maana kwa level aliyokuwa amefikia simba wala singetegemea maajabu zaidi
Mkuu una jicho zuri sana,,Safari njema chama, ni wakati wa simba kumwandaa chikwende ni kama potential anayo akipewa nafasi
simba ndiyo inaazidi kupata jina na si kusema kukubaliana na haliMashabiki wa Simba wakubaliane sasa na hali halisi
Imekuwa ghaflaDaaah hatimae imekuwa kweli!
Nenda Chama, daima utabaki mioyoni kwa mashabiki wa Simba kama ilivyokuwa kwa Emmanuel Okwi!
Thank you for memories!!
Kwa hiyo mtamloga?Hatakuwa na mafanikio kama alivyokuwa Simba
Inabidi wamwombe radhi Maulid Baraka Kitenge maana walimtukana sana alivyoleta taarifa za kuuzwa kwa huyu mwamba.Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana!
Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko Morocco, wana Simba mjiandae kupokea tangazo la kuuzwa kwa Chama muda wowote kuanzia sasa!
Neno moja kwa Chama
View attachment 1890262
Baada ya mwaka 1 au 2 yatamkuta ya Makambo atarudi tena Msimbazi. Mark my words.Duu! Ni kweli ni haki ya mchezaji kujiunga na club yoyote anayoona itampa ustawi wa soka lake na uchumi wake kwa ujumla, Lakini Je Simba kumuachia Chama tumejiandaa kweli kuziba pengo lake?
Ikumbukwe msimu wa 2018/2019 AS VITA walikuwa na kikosi bora sana kilichoweza kuwatungua Simba 5 - 0, Lakini tangu walipouza wachezaji bila mpangilio, kikosi chao kimeyumba mno hata kufikia mahala wanakubali kipigo uwanja wao wa nyumbani.
Simba tunapaswa kujifunza kitu hapa hasa ukizingatia mwakani tumepania kufika next level ligi ya Mabingwa!
Anyway Kila lakheri kwa "Triple C"!
Kweli hata mimi nina mtazamo kama huo, lakini acha tumuwache akajionee mwenyewe! Ufalme aliokuwa nao Simba sidhani kama ataupata kule!Baada ya mwaka 1 au 2 yatamkuta ya Makambo atarudi tena Msimbazi. Mark my words.