M mullo gabriel Member Joined Aug 3, 2021 Posts 70 Reaction score 76 Aug 14, 2021 #101 gigabyte said: Kwani simba iliwaona wapi hadi wakashawishika kuwasajili?.Kama ambavyo simba iliona kiwango chao wakasajiliwa ndivyo ambavyo na timu nyingine inaweza kuwaona pia. Click to expand... sawa na lisimba lenu linabomoka taratibu
gigabyte said: Kwani simba iliwaona wapi hadi wakashawishika kuwasajili?.Kama ambavyo simba iliona kiwango chao wakasajiliwa ndivyo ambavyo na timu nyingine inaweza kuwaona pia. Click to expand... sawa na lisimba lenu linabomoka taratibu
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,754 Reaction score 4,746 Aug 14, 2021 #102 Bukali said: Wivu wa nini sasa, rohombaya. Kwake ajira. Click to expand... Yalikuwa ni maoni kama yalivyo maoni yako. Jifunze kukubali maoni ya wengine itakusaidia. Sio lazima wakati wote maoni/mawazo yafanane.
Bukali said: Wivu wa nini sasa, rohombaya. Kwake ajira. Click to expand... Yalikuwa ni maoni kama yalivyo maoni yako. Jifunze kukubali maoni ya wengine itakusaidia. Sio lazima wakati wote maoni/mawazo yafanane.