Okinyal chwada! Chieng'no in-emibirolal.Nyako! Kikiral chieng' no, abilo chuady ma teck..
Mimi ntakuwa taifa mapema sana pale Minazini bar au Liquid chang'ombe nikitoa loki za ijumaa na kusubiri hiyo mechi taaaaratibu
[HASHTAG]#SimbaTaifaKubwa[/HASHTAG]
Thats why i love you.Yanga hapa [emoji123]
Shunie, I know you are certain and know how much I am dying for you.
I am in deep fondness.
Not in public.
Mkimalizana nahitaji mrejesho, na ninausubiri kwa hamuuu, si unajua vile sipendi kulaumiwa!!Come
Me more darling [emoji8]Thats why i love you.
Usije ukazimia tu,ntajitahidi kua nyuma yako ili nikubebe.Mnyama hatariiiii hapo mwajuma ndala ndefu lazima afe
Mkimalizana nahitaji mrejesho, na ninausubiri kwa hamuuu, si unajua vile sipendi kulaumiwa!!
Kwani mimi nina shida basiiii, na vile napenda kusaidiwa.Tunasambaza upendo.
Mnyama anataka ubingwa lakin ili ubingwa unoge ni lazima tupeleke msiba jangwaniUsije ukazimia tu,ntajitahidi kua nyuma yako ili nikubebe.
Kusaidiwa nini? Mtizame vileKwani mimi nina shida basiiii, na vile napenda kusaidiwa.
Ulizikiliza kipindi cha Sport HQ kama Yanga wamewakatia rufaa Stand, U unabisha bila kuelewa alafu unajisifu wewe zaidi, alafu uandishi wako tu unaonyesha wewe ni bado mtoto. Neno Chepeko kama nii tusi likuhusu wewe na ukoo wako wote, kama huna hoja kaa kimya, umeona tunadhalauliana humu, wewe uwe zaidi mimi unanijua, kama unauwezo kwa jambo lolote mimi sikujui, uwezo ukusaidie wewe na ndugu zako.Hahaha we chopeko kweli,kwa taarifa yako mi sio ndezi kwenye sports kama wewe,huna uwezo wa kufanana na Mimi kwenye hiyo idara,hebu nipe mfano halisi lini na wapi yanga alipewa ushindi wa mezani?kisha uje uniambie kwanini msimu uliopita simba na stend mechi ilichezwa dk 101 kule shinyanga?
Kusaidiwa vingi tu.Kusaidiwa nini? Mtizame vile
Mkuu sio mie, ni nafsi! Yaani piga, ua, galagaza, fanya na arobaini kabisa. Hapa ni full Mahaba kwa Yanga 😉Aaah wapi, subiri uone
Hujui hata kiswahili vizuri,rudi shule kwanza,nimekuuliza swali ni lini yanga kapewa ushindi wa mezani?unaleta mambo sijui ya sports upumbavu gani.Ulizikiliza kipindi cha Sport HQ kama Yanga wamewakatia rufaa Stand, U unabisha bila kuelewa alafu unajisifu wewe zaidi, alafu uandishi wako tu unaonyesha wewe ni bado mtoto. Neno Chepeko kama nii tusi likuhusu wewe na ukoo wako wote, kama huna hoja kaa kimya, umeona tunadhalauliana humu, wewe uwe zaidi mimi unanijua, kama unauwezo kwa jambo lolote mimi sikujui, uwezo ukusaidie wewe na ndugu zako.
SUNDI MERUUU...MAKWARIKWAR NG'AADE?Okinyal chwada! Chieng'no in-emibirolal.
Wakuu Salama?
Tutambuane mapema mashabiki wa timu hizi pinzani katika soka la Bongo. Jumamosi ni mtanange wa kukatana ndimi kati ya Yanga vs Simba. Tutambuane mapema uko upande gani?
Wakuu Salama?
Tutambuane mapema mashabiki wa timu hizi pinzani katika soka la Bongo. Jumamosi ni mtanange wa kukatana ndimi kati ya Yanga vs Simba. Tutambuane mapema uko upande gani?
Hey jiheshimu,mama yangu kakukosea nini?SUNDI MERUUU...MAKWARIKWAR NG'AADE?
NILITAKA KUJUA KAMA UNATUMIA KISWAHILI....SAFI SANA...HILI JUKWAA LA KISWAHILI WEWE UNAONGEA KILUGHA CHENU UKIDHANI SIE HATUNA CHA KWETU? HASHTAGSIPENDAGIUJINGAMIMIHASHITAGI...AHAHAHAHAHAHAHAHAHA.Hey jiheshimu,mama yangu kakukosea nini?
Hebu huko!NILITAKA KUJUA KAMA UNATUMIA KISWAHILI....SAFI SANA...HILI JUKWAA LA KISWAHILI WEWE UNAONGEA KILUGHA CHENU UKIDHANI SIE HATUNA CHA KWETU? HASHTAGSIPENDAGIUJINGAMIMIHASHITAGI...AHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
POLE LAKINI MTANI...NOTHING PERSONAL