Simba & Yanga Special Thread

Simba & Yanga Special Thread

Nyako! Kikiral chieng' no, abilo chuady ma teck..

Mimi ntakuwa taifa mapema sana pale Minazini bar au Liquid chang'ombe nikitoa loki za ijumaa na kusubiri hiyo mechi taaaaratibu

[HASHTAG]#SimbaTaifaKubwa[/HASHTAG]
Okinyal chwada! Chieng'no in-emibirolal.
 
Hahaha we chopeko kweli,kwa taarifa yako mi sio ndezi kwenye sports kama wewe,huna uwezo wa kufanana na Mimi kwenye hiyo idara,hebu nipe mfano halisi lini na wapi yanga alipewa ushindi wa mezani?kisha uje uniambie kwanini msimu uliopita simba na stend mechi ilichezwa dk 101 kule shinyanga?
Ulizikiliza kipindi cha Sport HQ kama Yanga wamewakatia rufaa Stand, U unabisha bila kuelewa alafu unajisifu wewe zaidi, alafu uandishi wako tu unaonyesha wewe ni bado mtoto. Neno Chepeko kama nii tusi likuhusu wewe na ukoo wako wote, kama huna hoja kaa kimya, umeona tunadhalauliana humu, wewe uwe zaidi mimi unanijua, kama unauwezo kwa jambo lolote mimi sikujui, uwezo ukusaidie wewe na ndugu zako.
 
1475102900038.jpg
 
Hujui hata kiswahili vizuri,rudi shule kwanza,nimekuuliza swali ni lini yanga kapewa ushindi wa mezani?unaleta mambo sijui ya sports upumbavu gani.
 
Wakuu Salama?

Tutambuane mapema mashabiki wa timu hizi pinzani katika soka la Bongo. Jumamosi ni mtanange wa kukatana ndimi kati ya Yanga vs Simba. Tutambuane mapema uko upande gani?

1010418_10151832475681400_1559019449_n.jpg
Wakuu Salama?

Tutambuane mapema mashabiki wa timu hizi pinzani katika soka la Bongo. Jumamosi ni mtanange wa kukatana ndimi kati ya Yanga vs Simba. Tutambuane mapema uko upande gani?

Hey jiheshimu,mama yangu kakukosea nini?
NILITAKA KUJUA KAMA UNATUMIA KISWAHILI....SAFI SANA...HILI JUKWAA LA KISWAHILI WEWE UNAONGEA KILUGHA CHENU UKIDHANI SIE HATUNA CHA KWETU? HASHTAGSIPENDAGIUJINGAMIMIHASHITAGI...AHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
POLE LAKINI MTANI...NOTHING PERSONAL
 
Hebu huko!
 
Back
Top Bottom