Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

Mkuu inawezekana uko sahihi...ila maneno matupu bila ya ushahidi wa kile ukisemacho ni tatizo kwa mtu kama wewe...EMBU TUWEKEE HIYO TAARIFA IKIWA KAMILI YENYE USHAHIDI KUWA SIMBA (MIKIA)WALICHUKUA HUO MPUNGA
 
Uzi umebalance sana ila kuna wachangiaji wanashindwa kubalance shobo hii tunaita kiherehere cha ma..ya
 
Simba nao walivuta mpunga
 
Mbona umekurupuka kama msenge,rudia kusoma mkun du wew
 
Je, hiyo 2.3Billion inayotolewa kwa kila timu shiriki, itatosha ku-cover running cost mpaka bingwa apatikane?
 
20 + 25 = 85
 
Hujui, hizi hela watakula viongozi na wachezaji wataambulia kulala hotelini tu! Ufisadi katika mpira ndiyo unatuua TZ
 
Kwani ni mashindano yanayohusisha timu za kudumu au zinahusisha timu zitakazokuwa zimefuzu?
Zitakuwa za kudumu. Wanaangalia biashara zaidi, ambayo inaletwa na performance plus popularity
 
Zitakuwa za kudumu. Wanaangalia biashara zaidi, ambayo inaletwa na performance plus popularity
Sawa je watatumia kigezo kipi kupata hizo timu 24 za kudumu ukiangalia kuna vilabu vikubwa na ma giants zaidi ya 24?
 
Sawa je watatumia kigezo kipi kupata hizo timu 24 za kudumu ukiangalia kuna vilabu vikubwa na ma giants zaidi ya 24?
kuna kipindi huu mchakato ulipoanza, walisema vigezo itakuwa ni timu zenye historia inayojirudia kwa mafanikio, pamoja na wingi wa mashabiki. Simba mafanikio kiasi, wingi wa followers mitandaoni na mwamko wa mashabiki wa Tanzania viliibeba ikawa inatajwa huenda ikawemo, na kwa kuzingatia uwakilishi wa ukanda huu ili isikosekane timu kutoka huku East Africa. Hata hivyo, sina uhakika kama hii programu itatekelezwa

 
Kwa mujibu wa Raisi wa shirikisho la soka Africa (CAF) alisema inaweza kuanza mwaka 2023 ila timu 20 tu ndio zitakuwa members wa kudumu wa super league. Kwenye uchaguzi wa timu 20 hapo ndipo panaweza kuleta hamaki huko mbeleni kutokana na mataifa kuwa mengi na timu kuwa nyingi. Kwa idadi ya followers ni kweli Simba inafanya vizuri kwa Africa. Ila kwa performance ya kujirudia bado wana deshi deshi kutoka msimu mmoja kwenda mwingine. Sijui labda kwa msimu anaweza kung'aa kupitia kwenye shirikisho na kujiongezea point kwenye rank ya CAF.
 
Mbona umekurupuka kama msenge,rudia kusoma mkun du wew
Unapoleta matusi inadhihilisha bangi unazovutia chooni zinakupelekesha auna adabu kabisa wewe ,kama umenitukana Mimi wazazi wako si ndo unawanyea kichwani kabisa wewe mwanaharamu! Sidhani Kama hili ni jukwaa la wavuta bangi kwa wapuuzi wachache kutoa matusi ya namna hii, hoja ujibiwa kwa hoja na sio viroja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…