Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

We mpuuzi kawaulize simba ile hela ya haki za matangazo walichukua au awakuchukua? Ukipata majibu ndo urudi kubwabwaja hapa, iyo hela waliyogomea walikwenda kimya kimya wakaichukua kawaulize kwanini waliwaficha? Eti simba walizikataa usiwe unarukia vitu usivyovijua wewe na uyo babra wenu aliyekuwa anajifanya kukomaa kukataa muulizeni kwanini alienda kimya kimya kuzichukua zile pesa bila kuitisha press conference kuwaambia Kama alivyo itisha press kuukataa ule mkataba? Mna njaa alafu mlikuwa mnaleta kiburi wakati amna kitu, ovyo kabisa nyie watu!
Mkuu inawezekana uko sahihi...ila maneno matupu bila ya ushahidi wa kile ukisemacho ni tatizo kwa mtu kama wewe...EMBU TUWEKEE HIYO TAARIFA IKIWA KAMILI YENYE USHAHIDI KUWA SIMBA (MIKIA)WALICHUKUA HUO MPUNGA
 
Julai 17, 2021 Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe alithibitisha kuwa mipango ya kuanzishwa kwa African Super League ipo kwenye hatua nzuri, japo hadi sasa haijawekwa wazi lini hasa michuano hiyo maalum itaanza.

Tetesi ni kuwa huu ndiyo mpunga ambao unatarajiwa kupatikana katika ligi hiyo ambayo uwekezaji wake kwa jumla unatarajiwa kutumia dola milioni 200 (zaidi ya Sh bilioni 461 za Kitanzania):

• Timu 24 zitakazoshiriki CAF Super League zitapewa USD 1m (Sh bilioni 2.3) kama fedha ya wao kushiriki katika michuano hiyo.

• Bingwa atapata USD 10m (Sh bilioni 23)

• Viwanja vyote vitakavyotumika ni vya kiwango cha juu

• VAR itahusika katika kila mechi

• Bingwa wataiwakilisha Afrika katika FIFA Club World Cup

Hii ni fursa kwa klabu za Tanzania zikiwemo Simba, Yanga, Azam FC kupambana kufanikisha kushiriki katika michuano hiyo.

View attachment 2114663
Uzi umebalance sana ila kuna wachangiaji wanashindwa kubalance shobo hii tunaita kiherehere cha ma..ya
 
Hii programu mpunga mwingi unatokana na haki za matangazo ya TV. Azam TV waliichungulia hii wakazishawishi Simba na Yanga ziwauzie haki za contents zao kuanzia timu za vijana, wanawake na wanaume, hadi mazoezi ya kambini, na wakaufanya mkataba uwe wa muda mrefu.

Simba wakausoma mchezo wakakaa kimtego maana ukiuza haki ya matangazo hautakiwi kuwa na mdhamini mwingine anayehusika na matangazo, na wakawa wanasaini contract za muda mfupi zenye hela ndogo ndogo.

Yanga wao wakaamua kuuza haki zao zote kwa kipindi cha miaka 10. Kama mnakumbuka kuna kipindi Yanga walikuwa wanachekelea zile bilioni 40 hivi kwa miaka 10, Simba walizikataa, na msingi mkubwa ilikuwa kusikilizia dili la Super Cup
Simba nao walivuta mpunga
 
We mpuuzi kawaulize simba ile hela ya haki za matangazo walichukua au awakuchukua? Ukipata majibu ndo urudi kubwabwaja hapa, iyo hela waliyogomea walikwenda kimya kimya wakaichukua kawaulize kwanini waliwaficha? Eti simba walizikataa usiwe unarukia vitu usivyovijua wewe na uyo babra wenu aliyekuwa anajifanya kukomaa kukataa muulizeni kwanini alienda kimya kimya kuzichukua zile pesa bila kuitisha press conference kuwaambia Kama alivyo itisha press kuukataa ule mkataba? Mna njaa alafu mlikuwa mnaleta kiburi wakati amna kitu, ovyo kabisa nyie watu!
Mbona umekurupuka kama msenge,rudia kusoma mkun du wew
 
Je, hiyo 2.3Billion inayotolewa kwa kila timu shiriki, itatosha ku-cover running cost mpaka bingwa apatikane?
 
20 + 25 = 85
We mpuuzi kawaulize simba ile hela ya haki za matangazo walichukua au awakuchukua? Ukipata majibu ndo urudi kubwabwaja hapa, iyo hela waliyogomea walikwenda kimya kimya wakaichukua kawaulize kwanini waliwaficha? Eti simba walizikataa usiwe unarukia vitu usivyovijua wewe na uyo babra wenu aliyekuwa anajifanya kukomaa kukataa muulizeni kwanini alienda kimya kimya kuzichukua zile pesa bila kuitisha press conference kuwaambia Kama alivyo itisha press kuukataa ule mkataba? Mna njaa alafu mlikuwa mnaleta kiburi wakati amna kitu, ovyo kabisa nyie watu!
 
Julai 17, 2021 Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe alithibitisha kuwa mipango ya kuanzishwa kwa African Super League ipo kwenye hatua nzuri, japo hadi sasa haijawekwa wazi lini hasa michuano hiyo maalum itaanza.

Tetesi ni kuwa huu ndiyo mpunga ambao unatarajiwa kupatikana katika ligi hiyo ambayo uwekezaji wake kwa jumla unatarajiwa kutumia dola milioni 200 (zaidi ya Sh bilioni 461 za Kitanzania):

• Timu 24 zitakazoshiriki CAF Super League zitapewa USD 1m (Sh bilioni 2.3) kama fedha ya wao kushiriki katika michuano hiyo.

• Bingwa atapata USD 10m (Sh bilioni 23)

• Viwanja vyote vitakavyotumika ni vya kiwango cha juu

• VAR itahusika katika kila mechi

• Bingwa wataiwakilisha Afrika katika FIFA Club World Cup

Hii ni fursa kwa klabu za Tanzania zikiwemo Simba, Yanga, Azam FC kupambana kufanikisha kushiriki katika michuano hiyo.

View attachment 2114663
Hujui, hizi hela watakula viongozi na wachezaji wataambulia kulala hotelini tu! Ufisadi katika mpira ndiyo unatuua TZ
 
Kwani ni mashindano yanayohusisha timu za kudumu au zinahusisha timu zitakazokuwa zimefuzu?
Zitakuwa za kudumu. Wanaangalia biashara zaidi, ambayo inaletwa na performance plus popularity
 
Sawa je watatumia kigezo kipi kupata hizo timu 24 za kudumu ukiangalia kuna vilabu vikubwa na ma giants zaidi ya 24?
 
kuna kipindi huu mchakato ulipoanza, walisema vigezo itakuwa ni timu zenye historia inayojirudia kwa mafanikio, pamoja na wingi wa mashabiki. Simba mafanikio kiasi, wingi wa followers mitandaoni na mwamko wa mashabiki wa Tanzania viliibeba ikawa inatajwa huenda ikawemo, na kwa kuzingatia uwakilishi wa ukanda huu ili isikosekane timu kutoka huku East Africa. Hata hivyo, sina uhakika kama hii programu itatekelezwa

1644506602574.png
 
View attachment 2115052
Kwa mujibu wa Raisi wa shirikisho la soka Africa (CAF) alisema inaweza kuanza mwaka 2023 ila timu 20 tu ndio zitakuwa members wa kudumu wa super league. Kwenye uchaguzi wa timu 20 hapo ndipo panaweza kuleta hamaki huko mbeleni kutokana na mataifa kuwa mengi na timu kuwa nyingi. Kwa idadi ya followers ni kweli Simba inafanya vizuri kwa Africa. Ila kwa performance ya kujirudia bado wana deshi deshi kutoka msimu mmoja kwenda mwingine. Sijui labda kwa msimu anaweza kung'aa kupitia kwenye shirikisho na kujiongezea point kwenye rank ya CAF.
IMG_20220210_185952.jpg
 
Mbona umekurupuka kama msenge,rudia kusoma mkun du wew
Unapoleta matusi inadhihilisha bangi unazovutia chooni zinakupelekesha auna adabu kabisa wewe ,kama umenitukana Mimi wazazi wako si ndo unawanyea kichwani kabisa wewe mwanaharamu! Sidhani Kama hili ni jukwaa la wavuta bangi kwa wapuuzi wachache kutoa matusi ya namna hii, hoja ujibiwa kwa hoja na sio viroja
 
Back
Top Bottom